Nilikuwa nakuchokoza tuu. Kila mtu ni selfish. Marriages or relationships in general are utterly based on selfishness. In deed, selfish ndio inayotufanya tu survive. Lakini nafikiri selfish varies from one person to another na inategmea na jamii ambayo unaishi. Labda waliofanya hiyo study wangesema beautiful people are more selfish than others. Pia zipo aina za selfish. A baby is selfish because s/he doesn't understand beyond his/her self. The kuna ego selfish which we learn when we grow up. Hapa ndio tunapojifunza kuiba, kudanyanya na pia kuwa addictive na personality zetu na mazingira yanayotunzunguka.
Najaribu kulinganisha hii study na study nyingine iliyofanyika huko nyuma ambayo ilisema kuwa beautiful people have additive personality. In other words, beautiful people want to feel good most of the time and many will go to great extremes to avoid the negative. So, if you have an addictive personality you will be primarily focused on self. If someone strokes you then that will be an inducer to include that person. But this study may raise more questions than answers. For example, who is a "beautiful" person? What criteria would one use to define a "beautiful" person?