Beautiful Africa-Rwanda.

Hayo mashamba ya chai Njombe,Moshi yapo kibao ,mi sijaoba cha kushangaza.hyo minazi tasa ya barabarani kuanzia mwenge mpaka tegeta IPO kibao.hamna jipya Rwanda huko
 
Hakuna watu wanaitaman Tanzania km wanyarwanda. Mpka Leo wakimbizi kibao wamegoma kurud kwao
Kweli Mkuu nchi imejaa wakimbizi kutoka Rwanda, Burundi na Congo hawataki kurudi licha ya mazuri yote wanayojinasibu yanapatikana Rwanda ..


Kingine ni kweli hao wanyarwanda ni washamba balaa nimepiga sana mbupu kwa ushamba wao kuhusu Tanzania
 
Wabongo temeni temeni povu me hoi hum kwa hili povu la baking soda waswahili acheni kula maharage akili zitawarudi kelele kbao chezea Rwanda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mara nchi ndogo Kinondoni tuuu imewashinda kufanya usafi full chemba zinatema taka kibao ka dampo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unapajua Tanzania kuliko Rwanda..bila shaka unapost ukiwa Tanzania..
 
Acha wivu,, huoni cha kujifunza hapo????
 
Napost kwa iPhone yangu mpya.
Jestkilla,, endelea kutupostia mapicha picha,, kwenu kuzuri kuliko kwetu nilishafika nikapapenda,, nataka nije nianze kufanya utalii huko kwenu
 
These are selected area photoz,nina uhakika TZ tuna maeneo mazuri kuliko hayo tukisema tuchague yale maeneo mazuri zaidi na yenye mvuto machoni!
Hapa hatujaja kuonyesha ni wapi pazuri na ni wapi pabaya cha msingi ni kuelimishana maana kila nchi ina uzuri wake zaidi ya nyingine sasa naomba tusigeuze fulsa kuwa tatizo.kuna wanyarwanda wanaishi Tz na kuna wa Tz ambao wanaishi Rwanda sioni sababu ya mashindano
 
Aaah!kumbe Munyambo p,
 
Kwa mfano tz kuna daraja la kigamboni,kuna bagamoyo,kuna masaki,kuna mabasi ya mwendo kasi,kuna meri na boats nzuri,kuna bahari ,kuna ziwa LA Victoria kuna mlima wa kilimanjalo kuna flyover ubungo kuna Serengeti kuna mikumi na maeneo mengine mazuri
 
Tuhimizane kutalii nchi zetu badala ya majigambo watanzania tutembelee Rwanda halikadhalika wanyarwanda watembelee vivutio vyetu .mimi binafsi nina hamu ya kutembelea nchi za West Africa. Tudumishe amani amahoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…