Beautiful Africa-Rwanda.

Inapendeza zaidi jirani zangu Karagwe, ni vyema mfanye juu chini mchukue ndugu zenu Karagwe wanaojifanya wanyambo na wahaya.

Nakumbuka mwaka 2005,2006 wakati wanawarudisha kwenu kuna kijiji Karagwe walikomba karibia wanakijiji wote. Kinachowasumbua Rwanda ni ardhi. Mfano wilaya ya Karagwe ni kubwa kuliko Rwanda.

*Kuna mada Kutembelea Rwanda naona imefungwa kwasababu ya matusi ya nguoni. Ngoja niwastue mods waipitie na hii hawatakosa vichwa kama 20 vya kula vichwa.
 
Hahahaah! Hapo ndo Kigali, ukienda km 1.5 kutoka hapo unakutana na mji mchafu kama Kibera.

Rwanda nzima ni safi taja huo mtaa,watz wengi wanapitia Rusumo na kuanzia pale mpaka unafika Rubavu via kigali ni safi.kigali kuna siku n usafi nchi nzima naona makonda alijaribu kufanya hivo watu wakaja juu na mchezo ukaisha Tz sijui tunaweza majingu Tuu hata sielewi
 
Jaman tuongee mambo ya maana na sio matusi kila nchi ina uzuri wake na mapungufu yake sio Rwanda wala Tz ya nini malumbano?tubadilishane mawazo,tuelekezane ni wapi kuna furusa yoyote na mengineyo maana wote ni majirani asanteni sana
 
Otyoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…