Samahani kwa Kosa la heading.
Mahala: Msanga mkuu, mtwara
Ukubwa: Mita 129 kwa 100
Vitu vilivyomo: minazi
Linafaa kwa: Hotel, resort, Makazi
Bei: Milion 100 maelewano yapo
For serious buyers call 0714155854
Note: Mimi sio dalali wala mwenye eneo namsaidia muhusika ambaye hana uelewa wa mambo ya mitandao kufikisha ujumbe wake kwa umma.
Picha zimeambatanishwa ...kuna video pia ila ni kubwa nimeshindwa kuiweka kutokana na ukubwa wake.
Ahsanteni