Beach soccer

Unanua gari LA zamani likashindani na gari jipya. Kweli kaseja na banka kama wachezaji !!! Majabu hawa hata team tu ya ligu za ndondo hawakupata namba.
 
Bongo hakuna ila nchi za BRAZIL ndo mchezo pendwa kipindi cha weekend
 
Mkuu kwakuwa unasifika kwa uchawii basi kila uliletalo utataka watu walikubali... la sivyo unawatishia kuwageuza paka... sasa kwahili halina hata chembe chembe ya Beach Soccer... rekebisha heading ya thread yako...
 
Mlaleo hivi hata huku unataka kuleta ligi? Huku watu wana chill so please join the team
Angalia post ya HANSSs na jibu langu kwake
 
Zamani kidogo kule kwetu kigamboni(mjimwema) daily tulikuwa tunacheza japo sio kwa sheria, Hasa kikiwa kipindi cha maji kutoka inabaki ufukwe mzuri, then tambarare moja matata sasa, kama ot vile.. Kwa hakika soka hili ni tamu zaid.. Hapo ni kushindana ufundi tu.. Vigoli vidogo ila humo ndani zaid ya watu kumi na upuuzi..
Siku hizi wapo madogo wanaendeleza ila si bora kama kipindi fulani.. Ukitaka unaotea weekend mara moja moja, karbia na south beach huwa kinapigwa sana pale.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…