Naamini muuzaji umeeleweka.
Kwamba ni viwanja karibia na fukwe ya Bahari ,Beach Plots na Waterfront plots ni kitu kimoja,hivi lazima viwe kwenye first row ya Bahari,yaani baada ya maji ndio vyenyewe,ila kama ikiwe ni kuanzia kiwanja cha pili tu basi inakuwa sio beach plots tena ila unaweza kusema tu second plot from the beach ili kukipamba.
Na hata hivyo Beach plots huwezi kupata kwa bei hiyo nandio maana nasema these are Plots closed to the beach
bytheway bei ipo vizuri sana tu
Vipi maeneo ya huko kaole wanga vipi,maana Bagamoyo nako hakuendelei kwa hilo