Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
I hope so,Uzuri hawaogopi watu!
Wanataga kwenye miti!
Tuwaombeee wasiondoke Mkuu!
Nawaombea sana tena idara husika inabidi wawachunge kwa kila hali
Ingawa wengine hawatanielewa
I hope so,Uzuri hawaogopi watu!
Wanataga kwenye miti!
Tuwaombeee wasiondoke Mkuu!
Singida kuna mabwawa na yana beach mzuri tuuUmefanya makusudi kuliita bwawa, beach au ndiyo mambo yakuchanganya birthday na happy birthday.
Gest house nyingi tuuu !Kama nataka kununua ntafikia wapi kwa mwenyeji an
Mimi nimekuelewa sana!I hope so,
Nawaombea sana tena idara husika inabidi wawachunge kwa kila hali
Ingawa wengine hawatanielewa
IPO Mkuu!kumbe dodoma kuna beach nilikua sifahmu
aisee nlkua sfahamuIPO Mkuu!
Imetulia sana!
Na kwa jua la Dodoma hautajuta kuwa maeneo hayo!
Hewa safii
Kibaridi kitamuuu,
Hakuna chumvi Kali kama ya bahari!
Karibu uwahi plot mapemaa kabla wajanja hawajavamia!aisee nlkua sfahamu