mashukurumageni
Member
- Nov 18, 2016
- 19
- 7
Nyumba za wageni je?!kuna thread kuhusu hiyo ishu....nyuzi nyingi sana tafuta
haha hizo utakua umeziandika weweNyumba za wageni je?!
Darzoo iko maeneogani mkuu, me mgeni na mambo hayo, na kiingilio inaweza kuwa bei gani
Ipo Kigamboni tena huko kuna beach nyingi tuDarzoo iko maeneogani mkuu, me mgeni na mambo haya
Huzijui kbs?!haha hizo utakua umeziandika wewe
Majibu muhimu.....Ivi n beach gan PIA papuchi nje nje niende sikukuu hii