Beach inahitaji wazoefu

Kichwa cha chini huwa kina maamuzi magumu sana siku zote
 
Siku ya kwanza baada ya kutoka Chato
Pole ungejua hiztoria au life style ya kanda ya ziwa wala usingetaja hiyo wilaya. Hebu ulizia kwa watu wa kanda ya ziwa wanavyooga na wala hawasumbuki! Huyo ametoka sehemu/ mikoa ambazo hazina ziwa kama Victoria! Natumaini unaifahamu mkoa hup mmoja wapo ulikotoka wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…