Be you, just you!

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,886
Salaam waungwana kwema humu?

Kuna jambo siwezi acha kuwa hasa hasa wale mnao yatazama mausiano kama sehemu ya Kupata wenzi wa kudumu nao maana naona kumekuwa na fujo sana siku hizi.

Last time nilienda kukutana na a friend mahala katika pita pita zangu sehemu (miangahikoni) nikakutana na jamaa yuko na binti mrembo sana. In fact jamaa namfahamu kua ni homeboy sema sikufukiri kama pengine Angekua katika mazingira yale sababu ni gharama sana.

Sasa wakati niko pale namsubiri mwenyeji wangu jamaa alitoka na yule binti kuja nilipo kaa mimi sababu tuligongana macho akanitambulisha kua yule ndio shemeji yangu, siku nikisikia anasema anataka kuoa muhusika ndio yule, Mimi nilicheka tuu nikasema hongera una msichana mrembo.

Yule binti alinichangamkia sana akizani Mimi ndio moja ya mashemeji but sivyo sababu jamaa ni kijana ninaemkutaga kijiweni pale mtaani na huwa Mara nyingi namsisitiza atafute shughuli za kufanya kama mdogo wangu.

Sasa nilipomalizana nao bahati nzuri rafiki yangu akawa amefika pale tukaanza mazungumzo lakini katikati ya mazungumzo nikaona jamaa amekuja na yule binti pale tulipo kaa na rafiki yangu akiaaga na kusema kua anamuwahisha ili yeye awahi ofisini maana alikuja mara moja for lunch na mrembo hivyo anarudi mzigoni so tutachekiana nyumbani .

Sasa ilibidi niitikie nicheke nikasema sawa kazi njema lakini kabla hawajaondoka yule binti akaniaga nae huku akiuliza shem upo ofisi gani? Na idara niliyopo Nikasema but sikujua kitachofata mbele.

Sasa kichekesho yule binti akaja siku chache kuja kuhoji namfahamuje jamaa mimi nikamuuliza kwani kuna tatizo? Yule binti akawa anasema mpaka sasa anamwaka hapajui kwake na ameshampeleka kwa ndugu zake wote(mwanamke). Nikamchallenge unawezaje kukaana mtu muda wote hapajui kwao wala anapoishi?.

Sasa binti anadai kukutana na Mimi imekua kama mwanga uliomulika wakati wa giza hivyo anaomba nimwambie ukweli.

Maamuzi niliyochukua nikamshauri kabla sijasema lolote inabidi uende ukafix na huyo jamaa wako sababu sipendi kuingilia mambo binafsi japo umeamua kunishirikisha hata kama wote ni wadogo zangu

Yule binti aliomba sana kiukweli story alizotoa kuhusu jamaa ni uwongo mtupu.

Niliamua kumrahisishia kwanini hataki kukupeleka kwake au kwao kama yeye alivyofanya nikamsihi kazania hilo ikishindikana jiulize mtaoana vipi

Yule binti alionekana kuumizwa sana ni kabinti kazuri innocent kasichojua kitu but amekutana na wadogo zetu wa mjini waliovurugika.

Wito wangu wadogo zangu na wazee wenzangu kwanini tufake maisha? Kwanini tusikubali kitu flani hatuna kwanini tusianzishe mahusiano bila longo longo? Kama kuna vitu haviwezekani tusilazimishe tujikubali tu watatuelewa wa namna yetu.



Gentleman!
 
Kuwa mkweli kwenye maisha na mahusiano kwa ujumla itapendeza zaidi....
Hivi jamaa akianguka barabarani yupo na manzi, manzi wawatu atafanya nini na atatoa taarifa wapi masikini....

Ukiona kimya ujue unadanganywa!!!
 
Ngoja nigeuze kipunga ndo nije kusoma
 
Ulipofika hapo kwa binti akaja mwenyewe, ghafla nikamkumbuka Mangongo yule wa 'hainaga ushemeji', ilanilipoendelea kusoma taratiiibu nikajikuta naimba zangu rumba la msondo ngoma 'wanaume tumeumbwaaA!!, matesoo kuhangaika!'

Ila naunga mkono Uzi
 
Ulipofika hapo kwa binti akaja mwenyewe, ghafla nikamkumbuka Mangongo yule wa 'hainaga ushemeji', ilanilipoendelea kusoma taratiiibu nikajikuta naimba zangu rumba la msondo ngoma 'wanaume tumeumbwaaA!!, matesoo kuhangaika!'

Ila naunga mkono Uzi
hizi sasa ndio zileeee zinaitwa akili za usiku
 
Broo I can understand your concern, big up! nice advice but I am worried that it is falling on the deaf ears. Unajua hii hali wameitengeneza hawa wadada wenyewe. Hawataki kuwaelewa vijana wakienda kwa uhalisia. Utaskia "hadhi yako na yangu hazifanani"

Hilo linawafanya vijana wengi sana waigize maisha ili wawapate hawa watu. Hawakubali hawa mpaka wadanganywe na kama huamini fanya research yako ndogo tu.

By the way, nice thread broo
 
sasa mfano model wamaisha yako ni Baraka Da Prince ,,, kuna kitu hapo ???

Vijana wasiku izi niwaoga wamaisha ALAFU WANAPENDA SLOPE ,kuna kitu hapo ???

Ukija kwa madem,, dems wa siku izi niwachachr sana ambao ni *Wanawake* ,,unakuta dem anapenda vitu vikubwaaaaa kushinda hata umri wake ,,, demu waaina hiii kwann asiigiziwe maisha ????.maana kumtaka unamtaka lkn anakua malingo yasokua yake .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…