nimeirekebishaUpuz tu,unaweka ma link ya nin sasa bila kutoa hints
haya bana najua wewe hutakawia kunitumia bbm pin yakowalikuwa wametangaza siku nyingi kuwa wanaleta BBM siku nyingi kwa OS tofauti lakini naona wamechelewa sana. maana sioni cha kushawishi nihamie toka whatsapp na viber. selfishness ni kitu kibaya sana maana wasingejifanya kubana mwanzoni wangekuwa na network kubwa sana leo. ils ni pos, kuna kabinti kako marekani kanapenda sana BB..
Viber
Google Plus
Tango
Skype
BBM
WeChart
Kik Messenger
Mig33
Nimbuzz
Line
Kakao Talk
Go Chart
Midude yote hii ya nini sasa??
Viber
Google Plus
Tango
Skype
BBM
WeChart
Kik Messenger
Mig33
Nimbuzz
Line
Kakao Talk
Go Chart
Midude yote hii ya nini sasa??
wanataka tushinde kwenye misimu na mitelevisheni tukitoa macho tu huku wao wanagundua vitu vipya, wazungu wabaya sana hawa.Hii yote ni neo-colonialism esp for Africans, akili yote inatawaliwa na hizi social networks ambazo zinatengeneza addiction.. hapo ujazungumzia hizi movies, series..