Mtangazaji mahiri wa BBC hasa program ya Focus in Africa bwana Dumor mwenye asili ya Ghana amefariki leo nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 41
RIP Komla Dumor
Hivi karibuni alifanya coverage kwenye mazishi ya Nelson Mandela na pia amepata kufanya mahojiano na watu maarufu kama Bill Gates na Koffi Annan
Jamaa alikuwa jembe la ukweli na alikuwa mcheshi sana hasa kwenye kipindi cha focus on africa utapenda kuendelea kumuangalia.Ni kama salmu kikeke kwenye kipindi chake cha dira ya dunia.RIP KOMLA DU MO
Hii sio habari njema hasa wale wanaosikiliza Network Africa na Focus on Africa. Pamoja na wengine kama Bola Mosuro, Komla alikuwa na uwezo wa kukufanya uielewe habari kwa uhalisia wake.
R.I.P