nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Imeripotiwa Leo Kuwa wanatakiwa warudi kazini mara moja kwa amri ya Inspector General.
That's why naipenda nchi yangu TZ...wanapokosea hawaoni aibu kujirekebisha ...
Na inatia moyo kuwa kumbe tunapolalamika tukiwa nyuma ya keyboard inasaidia...
Kweli social media is becoming very powerful ...
Badala ya kuwakebehi inapaswa tumpongeze IG kwa kuwa msikivu na aso na kiburi...maana hao legal and human right center wenyewe walishagwaya...eti si illegal...like serious...au sababu ni jeshi wamegwaya?