BBC Swahili: Taarifa ya mgahawa sio kweli!

BBC Swahili: Taarifa ya mgahawa sio kweli!

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,792
150328115047_map_nigeria_512x288_bbc_nocredit.jpg

Idhaa ya bbcswahili imethibitisha kuwa taarifa tuliyo chapisha kwamba kuna mgahawa mmoja nchini Nigeria unauza nyama za binadamu siyo za kweli!

Tunaomba radhi kwa taharuki au hisia zozote zilizo sababishwa na taarifa hiyo

Taarifa ya mgahawa siyo kweli
 
Nyie ndo mliochapa hiyo taarifa? fafanua kidogo
 
Angalau kidogo imani imerudi kwa hii migahawa maana nilishafikilia kutembea na mahot pot
 
BBC Swahili washazoeleka kwa michapio daily, kwanza hamna article washawahi andika bila kukosea data, either wataweka spelling mistake za ajabu, au watatoa data tofauti kabisa, magoli 8 wanasema 18. Hawa jamaa wamekua ka global publishers
 
Back
Top Bottom