BBC rejects invitation to Rwanda Commission


poa mkuu. continue your insult. but kunifananisha na drug addict/trafficker is another serious mistake. Mkuu, kwa kuwa unaishi sayari ya mars na kwa kuwa computer yako haina IP address, endelea KUTUKANA
 
Tanzania ni Nchi ya Amani sana. that why watu kama nyie mnatukana vyovyote mutakavyo while hiding behind keyboard.
amani yetu na utu wetu ndo vinawafanya mutuone maboya. ipo siku tu

Wanasema kichaa hata avae suti utamtambua tu...what a shame...unakuta lijitu linaanza kutukana rais wa nchi jirani namna hiyo...na atakuwa anawasoma kimya kimya...afu kesho mje kuomba mahindi muone atakavyowatoa dima...
 
poa mkuu. continue your insult. but kunifananisha na drug addict/trafficker is another serious mistake. Mkuu, kwa kuwa unaishi sayari ya mars na kwa kuwa computer yako haina IP address, endelea KUTUKANA
we lofa, hiyo mikwara yako baki nayo huko huko bongo au uende ukawatishie ndugu zako walio choka utawala wa kishirikina na uuwaji, kutwa mnapiga kelele eti Kagame muuwaji, nyie utawala wenu wakisanii umewafikisha wapi? tena wao ndio usiseme, mauwaji waliyaanza miaka ile... hivi unamkumbuka marehemu Harahara(RIP)? au ulikuwa bado haujazaliwa? aliuliwa na serikali ya ruksa kwenye miaka ya tisini kwa kisingizio eti cha ajali ya pangaboi ya helicopter(what a joke?) na mkakubali, leo hii mbona mnamsingizia Kagame kifo cha Karegeya(RIP) tena aliyefia SA nchi y maharamia? we kafie mbele na jMaliwako
 
Wanasema kichaa hata avae suti utamtambua tu...what a shame...unakuta lijitu linaanza kutukana rais wa nchi jirani namna hiyo...na atakuwa anawasoma kimya kimya...afu kesho mje kuomba mahindi muone atakavyowatoa dima...
kwa nini tuombe? si tunabadilishana na panadol tu na mambo yanakwisha.
 
Hii ignorance is beyond my understanding....you need help.
 

samahani kidogo! you mean wazungu wa unga wa hapo Bongo au white Europeans? mbona mnalalamikia sana ukubwa wa nchi yenu? kama imewashinda simuigawe basi, kila mkoa uwe ni nchi inayojitegemea.
we piga kelele lakini ujuwe mwakani mta chagua jizi lingine linalo heshimu ''democracy''
 
kwanza you mean nenda Kigali sio "nenda rwanda...". Pili nashukuru kuwa umeweka wazi hoteli zote za kigali ni hoteli za serikali! hahahahaha!

You have no clue ...unaongea ushuzi tuu.
 
poa mkuu. continue your insult. but kunifananisha na drug addict/trafficker is another serious mistake. Mkuu, kwa kuwa unaishi sayari ya mars na kwa kuwa computer yako haina IP address, endelea KUTUKANA

Is this a threat? If you can't handle the heat get out of the kitchen Prof maji marefu
 
hiyo GDP yenu "inayokua" kila mwaka inatokana nini? madini? utalii? ukuaji wa export sector?....hebu tusaidie sie watembeza bakuli!

Inatokana na mikakati thabiti na usimimizi bora wa matumizi ya serikali....for every penny spent we get out a dollar...can you say the same for tanzania? for every peny spent you get out a quater of the money spent. Go figure. But how would you know since you are not Tanzanian. Juzi hapa umefukuzwa kwenye majukwaa ya watanzania baada you kukushtukia na mikakati yako ya kueneza sumu. Sibiri...watakufurumusha tu. You wait.
 
Mbona suala la GDP inavyokua umeliruka? Tupashe tufahamu uchumi unakuaje? Mnauza nini? Huduma gani mnauza?Mnatoa kitu gani kuuza nje ya Ka-Rwanda kenu?Muelewe nchi yetu haiwezi kufananishwa kwa lolote na nchi yetu hata mfanye nini!! Dar es salaam Moja hamuifikii kwa maendeleo wivu wa PK ndio maneno ya chini chini yoote na ukitaka kuona kiongozi mbovu akishauriwa ana panic na kutukana.Lakini ushauri kama haufai kwako unaupotezea tu. Endeleeni kujenga nchi yenu kwa resource za wakongo mkafanye unyang'anyi wa mali za watu wengine mje mjenge wilaya yenu ya Kigali muemdelee kujisifia. Sijui kama nchi ina wapinzani maana hatusikii chochote kutoka kwao au ni chama kimoja tu?Shame to PK and his disgrace ppl. Hamna shukurani hata kidogo mliuana 1994 mlijazana nchini kwetu tukawahifadhi na mliharibu mazingira na kutumia resource zetu. Hadi leo mikoa haina amani kisa kupokea watu wasio na shukrani. Mlipochinja kwani hakukua na nchi nyingine za kukimbilia?Mtuache na Tanzania yetu mkae na kakijiji chenu cha makumbusho.
 

Usiniletee mipasho..... mimi si wa hivyo.... talk seriously..... nonsense.
 
upinzani mlionao ni upi huo?kelele za vyura zisizo mzuia tembo...ccm..kuchota maji...ahaha..eti upinzani..pole sana..kwamimi. kuendelea kua na vyama uchwara vya upinzani bora kua na chama kimoja..sasa watanzania mmedanganywa eti vyama vingi..hata sikumoja chama cha wenye njaa hakita weza enda madarakani tanzania
.CCM itatawala mpaka yesu atakapo rudi..kitakacho badilika ni wezi tu..leo huyu kesho yule..nanyie make mnafurahi eti ni demokrasi.
 
This is an insult to my president, to my country and to all Citizen of the United Republic of Tanzania. Mkuu, mdomo uliponza kichwa...

Hawa akina mchambawima1 tumewalea, tumewasomesha, tumewatoa tongotongo machoni.... leo hii anasimama na kuitukana Tanzania na Watanzania wote.... wewe hapo na wenzako kina MUKAMASIMBA isingekuwa Tanzania kuwasomesha na kuwatunza kwa kodi ya raia wake mngekuwa kama mlivyo sasa.... si mngeishia kusikojulikana kama watoto wenzenu ambao walifia msituni au makambini pamoja na wazazi wao..hawajulikani hata kama waliwahi hata kuishi juu ya ardhi ya maziwa makuu..tulisoma na nyie na kucheza na nyie kama watoto wa baba mmoja... tulienda na nyie vituo vya afya... tukapata chanjo pamoja ya ndui...tukaenda wote jeshini mlale.. wengine makotopola, itende wapi na wapi..... nyie kina Gassana, Kwigizire.. Ntibandetze..Deusdedit.. Adactus.. Methodius.. Balinge.. Apolo, Princhipius... Dionis, Dioclet, Dominicus, Privanus mnaanza kutuona wajinga, mazuzu, wasiojitambua....
Lakini kumbukeni ya kuwa sikio halizidi kichwa.... hizo kelele zisizo na msingi za kujiona nyie ndiyo kila kitu.... hazita wafikisha mbali..... haya mambo ya uhuru mliupata 1994, Mauaji ya mwaka 1994 yaliua watutsi pekee, au hatutaki kujongeleana meza moja na mahasimu wetu.... hayo yoote kwa watu wanaoona mbali hilo ni bomu linalosubiri kulipuka.....
 

1. Hujui GDP maana yake nini na how inakuwa calculated. period!
2. Lini nimefukuzwa kwenye jukwaa lolote lile la JF? Mbona mimi sina habari? au ndio umeanza utaratibu wa Ubwenge ?
 

wapinzani wetu hawako jela, hauwawi hovyo, hawatekwi, hawabambikiwi kesi....
 
Nyie wakimbizi mtapiga sana kelele lakini Rwanda siyo sawa na Tanzania. Mtu mwenye akili haitaji facts wala proof kujua hilo.
 
Tanzania ilikua ya kipindi cha nyerere bwana..siyo hawa interahamwe..wabaguzi...roho mbaya...wivu..wachawi..na simaanishi watanzania wote nasema hao kwenye usukani na interahamwe zilizojigeuza watanzania kama jmali,haina maana kumponya mtu na kumuua.
 

Weweeee tuache kabisaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…