Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
MUKAMASIMBA namaanisha bandiko lako namba 18Nafikiri ulitaka kunukuu bandiko #17 .
yani wewe jmali unatatizo la ubongo hayo yakua waliwataka viongozi wa rwanda kuchangia hiyo story wakakataa mnaproof yoyote?au ni maneno tu,sasa angalia vizuri jinsi bbc walivyo kataa mchana kweupe tuone kama watakanusha,report itatolewa na hao bbc sijui kama watakanusha chochote hapo,wanyarwanda naweza sema ndio new generation ya waafrika tunao wahitaji,hao bbc kukataa kuja ni kile kiburi cha uzungu tu hawanalolote wanajua mbele ya comitee hawana lolote la kusema,this is type of african people we need,who do not fear whites.

you dont fear them while you beg them for aid??? rwanda itself before the aid was cut it was an aid junk country leo mnaongea sizitaki mbichi izi!!! au ndo baniani mbaya kiatu chake dawa!!! uchumi wa rwanda uko in tatters kwa sababu aid imekatwa leo unaongea ivyo kweli maendeleo afrika safari bado ni ndefu!!!
hivi nani hutembeza bakuli kila kukicha kati ya tanzania na rwanda..na utajiri wooote mlionao..kuna mzungu mmoja ynilikuwa nae kwenye ndege akitokea kwenu huko...alishangaa jinsi watanzania walivyo maskini wakati utajiri nje nje...
MUKAMASIMBA rais anapaswa kuunda taasisi zilizo imara ndani ya demokrasia na sio yeye kuwa na mkono wa chuma. Aina ya marais mkono wa chuma hung'ang'ania madarakani muda mrefu kwani wanajua madudu wanayofanya. Wakimaliza utawala wao, mara nchi hurudi tena matatizoni.
Nenda Rwanda then ukifika Airport tuu mpaka Hotel utakayofikia utapata jibu lako...Rwanda wako very efficient katika idara zake zote na hakuna longolongo za rushwa wala uzembe wa kipuuzi,services zote ni five stars,ila unaruhusiwa kuamini kina jmali na haters wengine waliojaa humu with no clue.
hivi nani hutembeza bakuli kila kukicha kati ya tanzania na rwanda..na utajiri wooote mlionao..kuna mzungu mmoja nilikuwa nae kwenye ndege akitokea kwenu huko...alishangaa jinsi watanzania walivyo maskini wakati utajiri nje nje...
Duh... Bora niache kutumia neno watanzania, kuanzia leo ntakuwa nnatumia neno wauwaji na wala vikete, watamzania tulio kulia pamoja hawako hivyo kabisaaa na mkome kuwaaibisha na hizo akili zenu zinawaotesha matezi dume...wewe badala ya kujiuliza kwa nini mzungu hakuogopa kuponda mijinga ya kiafrika mbele ya mnyarwanda we unaishia kumkasilikia eti kwa nini hakupandwa na hasira za kumfanya agombane nae, wakati huyo huyo Murutongore unaemkasilikia haishi kuwakosoa ufara wenu uliotufikisha hapa.Kwa hiyo na wewe ukaanza kukenua mimeno... na KUSEMA yaah even me I wonder why??? Ukaongea kana kwamba hautoki Afrika... poor you.
Nenda Rwanda then ukifika Airport tuu mpaka Hotel utakayofikia utapata jibu lako...Rwanda wako very efficient katika idara zake zote na hakuna longolongo za rushwa wala uzembe wa kipuuzi,services zote ni five stars,ila unaruhusiwa kuamini kina jmali na haters wengine waliojaa humu with no clue.
hiyo GDP yenu "inayokua" kila mwaka inatokana nini? madini? utalii? ukuaji wa export sector?....hebu tusaidie sie watembeza bakuli!
Kanini basi hata hiyo dar msiifanye kama kigali?uozo mtupu tu!mikojo harufu mji mzima,halafu hiyo demokrasia unayoiimba iko wapi?uhuru wa kuongea visivyo badilisha kitu?kwa hilo mzee wa tezi dume hana tatizo lakini ujidandanye ukapitia mademu zake hapo utaozea gerezani kama babu seya kisa chupi,sasa sijui itakuaje kwani hilo tezi dume noma.Pia ikumbukwe Ka-Rwanda huwezi kufananisha na Tanzania kwa lolote. Kama ni maendeleo Rwanda ni kama Dar moja tu sasa hii nchi kubwa sana hata Kagame asingeiweza. Kagame alichofanya ni kuifanya wilaya moja mfano kama kinondoni tu kuonekana sehemu nzuri yenye huduma bora kabisa ndio anasema Rwanda nzuri. Ila si Rwanda yote ni nzuri njaa na taabu zipo changamoto zote za mataifa ya Afrika zipo Rwanda. Angalia suala la demokrasia Rwanda hakuna demokrasi kabisa. Ukimkosoa Kagame na wewe hufai unatakiwa kufa, watu wangapi wameuliwa na wako magerezani kisa kutaka kuikosoa Serikali ya PK?Jiulize sababu za PK kuweka kipindi cha uchaguzi kua ni baada ya miaka 7 haswa ni nini?kwanini miaka saba?Mbona hakuna ukomo wa uongozi nchini mwenu?Au mnaangalia sehemu moja tu ndio mnajiona mpo sawa? Sasa wazungu hawaropoki wanaongea kwa data na Rwanda kuwaita BBC ni kujiisha mbele ya macho ya Warwanda waonekane wanawajibika lakini ni kisiasa zaidi na hakuna lolote wanajua ukweli umeongelewa na wazungu lakini wao wanataka kuuficha, ingieni msituni mtafute taarifa za kukanusha madai ya wazungu. Mungu Ibariki Tanzania.
Kanini basi hata hiyo dar msiifanye kama kigali?uozo mtupu tu!mikojo harufu mji mzima,halafu hiyo demokrasia unayoiimba iko wapi?uhuru wa kuongea visivyo badilisha kitu?kwa hilo mzee wa tezi dume hana tatizo lakini ujidandanye ukapitia mademu zake hapo utaozea gerezani kama babu seya kisa chupi,sasa sijui itakuaje kwani hilo tezi dume noma.

ah... tokea ajifanye Yohana mbatizaji wa FDLR yale ya Mobutu(RIP) yashamkuta, hivi kilichobakia aombe mungu muhura wake uishe salama akafie mbele ya safari, na kale kakijeba(Membe) kenye urafi wa pesa za mfaransa, baada ya kuvimbewa na za kaddafi... tezi likianza tutakatumbua kabla hata hakaja kimbilia umarekani, tutahakikisha kanafia Lugalo, kama na wao wanavyouwa watu kule muhimbiri kwa kukusudia
Mimi nakwambia mkubali msikubali rwanda ndio kwa sasa inaongoza katika mapambano ya kutafuta heshima ya mwafrika..sio nyie kisemwacho na mzungu hakipingwi hatakama ni uongo...
This is an insult to my president, to my country and to all Citizen of the United Republic of Tanzania. Mkuu, mdomo uliponza kichwa...
Kwa matusi haya unayoporomosha kwa sie wana saikolojia tunasema 'DOZI IMEWAKOLEA'Kanini basi hata hiyo dar msiifanye kama kigali?uozo mtupu tu!mikojo harufu mji mzima,halafu hiyo demokrasia unayoiimba iko wapi?uhuru wa kuongea visivyo badilisha kitu?kwa hilo mzee wa tezi dume hana tatizo lakini ujidandanye ukapitia mademu zake hapo utaozea gerezani kama babu seya kisa chupi,sasa sijui itakuaje kwani hilo tezi dume noma.