Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,065
- 107,584
yani wewe jmali unatatizo la ubongo hayo yakua waliwataka viongozi wa rwanda kuchangia hiyo story wakakataa mnaproof yoyote?au ni maneno tu,sasa angalia vizuri jinsi bbc walivyo kataa mchana kweupe tuone kama watakanusha,report itatolewa na hao bbc sijui kama watakanusha chochote hapo,wanyarwanda naweza sema ndio new generation ya waafrika tunao wahitaji,hao bbc kukataa kuja ni kile kiburi cha uzungu tu hawanalolote wanajua mbele ya comitee hawana lolote la kusema,this is type of african people we need,who do not fear whites.BBC wakati inaandaa documentary, iliwaalika viongozi wa serikali ya Rwanda kushiriki, especially wale waliotajwa humo, including PAUL KAGAME. Viongozi hao WOTE WALIKATAA! Leo hii serikali hiyo hiyo eti inawaita BBC wajitetee kuhusu documentary ile ile waliyokataaa kushiriki? Hii ndio definition ya wendawazimu!
yani wewe jmali unatatizo la ubongo hayo yakua waliwataka viongozi wa rwanda kuchangia hiyo story wakakataa mnaproof yoyote?au ni maneno tu,sasa angalia vizuri jinsi bbc walivyo kataa mchana kweupe tuone kama watakanusha,report itatolewa na hao bbc sijui kama watakanusha chochote hapo,wanyarwanda naweza sema ndio new generation ya waafrika tunao wahitaji,hao bbc kukataa kuja ni kile kiburi cha uzungu tu hawanalolote wanajua mbele ya comitee hawana lolote la kusema,this is type of african people we need,who do not fear whites.
Embu ondoka uko.... eti aina mapya ya waAfrika.. as if Rwanda is doing wonders.
Embu ondoka uko.... eti aina mapya ya waAfrika.. as if Rwanda is doing wonders.
Wonders huwezi ziona mtu kama wewe uliyejaa chuki na wivu dhidi ya wanyarwanda na hiki ndicho kinawasumbua..
... Mkulu mimi kwa moyo wangu mweupe kabisa kwa Afrika nchi ambayo naimezea mate usiku na mchana ni Botswana tu. Ambayo katika rank zote za kimataifa iko juu.... ukitoka utawala bora... rushwa.... demokrasia.... elimu..... ukimya (huwezi sikia hata siku moja Botswana ikijisifia kuwa mimi nimefanya hiki au kile... wanaacha matendo yao yapaze sauti...)
Embu ondoka uko.... eti aina mapya ya waAfrika.. as if Rwanda is doing wonders.
Mkuu eliakeem, nakuunga mkono kuhusu Botswana. Jamaa wala hawana majigambo na wanafanya vyema sana kiuchumi na kisiasa pia. Kijamii wana tatizo kubwa la VVU/Ukimwi. Kiwango cha uathirika ni zaidi ya 20%!!
subiri tu...iko siku utaingia kundini because i know deep down inside you wish you had a president like ours.
Hata huo ukimwi ni dalili za tatizo katika kuelimisha wananchi kuhusu ukimwi..lakini bakuona kichekesho wakati unalinganisha botswana na rwanda..back ground zao ni tofauti sana..rwanda ya sasa ina umri wa mika ishirini kumbuka 1994 ilikua imesambaratika katika sector zote hiyo botswana haijawahi kukumbana na msukosuko wowote..hata mahali walipo sasa hawakustahili kua hapo nafikiri kama botswana ingekua chini ya pk nafikiri hivi ingekua nchi ya kwanza ya afrika kiuchumi.Kweli mkulu... ukimwi unawasumbua... lkn kama unavyojua VVU/ukimwi si jaNGA KAMA kuna miundombinu madhubuti ya afya...
yani wewe jmali unatatizo la ubongo hayo yakua waliwataka viongozi wa rwanda kuchangia hiyo story wakakataa mnaproof yoyote?au ni maneno tu,sasa angalia vizuri jinsi bbc walivyo kataa mchana kweupe tuone kama watakanusha,report itatolewa na hao bbc sijui kama watakanusha chochote hapo,wanyarwanda naweza sema ndio new generation ya waafrika tunao wahitaji,hao bbc kukataa kuja ni kile kiburi cha uzungu tu hawanalolote wanajua mbele ya comitee hawana lolote la kusema,this is type of african people we need,who do not fear whites.
Ahaha bbc bado hajahukumiwa yeye ni mshitakiwa ngoja hiyo report itolewe hapo ndio tutajua ya hukumu.MUKAMASIMBA rais anapaswa kuunda taasisi zilizo imara ndani ya demokrasia na sio yeye kuwa na mkono wa chuma. Aina ya marais mkono wa chuma hung'ang'ania madarakani muda mrefu kwani wanajua madudu wanayofanya. Wakimaliza utawala wao, mara nchi hurudi tena matatizoni.
Hata huo ukimwi ni dalili za tatizo katika kuelimisha wananchi kuhusu ukimwi..lakini bakuona kichekesho wakati unalinganisha botswana na rwanda..back ground zao ni tofauti sana..rwanda ya sasa ina umri wa mika ishirini kumbuka 1994 ilikua imesambaratika katika sector zote hiyo botswana haijawahi kukumbana na msukosuko wowote..hata mahali walipo sasa hawakustahili kua hapo nafikiri kama botswana ingekua chini ya pk nafikiri hivi ingekua nchi ya kwanza ya afrika kiuchumi.