Mwanzilishi nipo hapa nakuchora unavyotetea hao kina BBC na DW SwahiliKwani thread inasemaje au unachangia bila kujua hata mwanzisha thread kauliza nini?
Sijakusifu kuwa kwakuwa wewe ni mwanzilishi labda unaelewa ulichouliza, ila nilitaka arudi asome swali lako aelewe nilichojibu. Nimekwisha kujibu lengo la BBC idhaa ya Kiswahili ni kuwapasha wananchi wanaozuungumza lugha ya Kiswahili mambo yanayoendelea nchi za Maziwa Makuu. Huko kwingine wanagusa gusa tu wanakupa muhatasari tu ya habari world wide lakini focus yao ni habari za maziwa makuu.Mwanzilishi nipo hapa nakuchora unavyotetea hao kina BBC na DW Swahili
Swala langu kubwa lilikuwa kwanini yanayoendelea Marekani wanadonyoa donyoa tu na hawataki kuingia ndani kwa kutoa analysis ya kina kwa kinachoendelea huko?
Je, ingekuwa hayo yanayoendelea huko yametokea huku kwetu wangedonyodonyoa juu juu tu?
Sasa naona umejitahidi sana kuegemea kwamba wao wanajishughulisha zaidi na Maziwa makuu. Hapa hakuna anayebisha.
Hoja ni kwamba, sisi wamaziwa makuu hatustahili kuletewa kinachoendelea huko duniani kwa uzito ule ule na kwa mchambuzi wa kina?
Naona watu wanasema kwamba ni ushamba kusubiri BBC /DW Swahili watuletee kwa kina habari za huko duniani, twende kwa BBC/DW yenyewe ya Kiingereza.
Kwa hiyo kazi yao ni kutuchambulia habari zinazotokea hapa hapa ndani ya eneo letu la Maziwa makuu na kuwapelekea duniani jamii ya wanaoongea kiswahili lakini yanayoendelea huko duniani sio kazi yao kutuletea kwa undani zaidi
Nafuatilia habari vizuri sana,kwenye simu yaku nina app ya Aljazeera na Skynews bila kusahau BBC swahili kila siku saa tatau naitizama.Sababu hufuatiliagi habari, mbona Amnesty International na Human Rights Watch wameongea against matumizi ya jeshi?
@NafakaSijakusifu kuwa kwakuwa wewe ni mwanzilishi labda unaelewa ulichouliza, ila nilitaka arudi asome swali lako aelewe nilichojibu. Nimekwisha kujibu lengo la BBC idhaa ya Kiswahili ni kuwapasha wananchi wanaozuungumza lugha ya Kiswahili mambo yanayoendelea nchi za Maziwa Makuu. Huko kwingine wanagusa gusa tu wanakupa muhatasari tu ya habari world wide lakini focus yao ni habari za maziwa makuu.
Ukitaka habari za huko in deep kasikilize BBC ya Kingereza ambapo nako habari nyingi za maziwa makuu hutozisikia kule maana focus yao siyo nchi za Maziwa makuu. Kama usipoelewa hapa basi umechagua kutoelewa.
Bila shaka kwa baadihi ya mifano ya habari zilizowahi kushikiwa kidedea uliyotoa, Nafaka akikusoma ataelewa sasa@Nafaka
Kiukweli binafsi yangu miaka kadhaa nyuma wakati nipo huko nlikua mpenzi sana sana sana wa DW kiukweli BBC sikuwahi kuielewa nanlikua nikiisikiliza kibahati mbaya sana sio kwakukusudia
Kiukweli kabisa DW walikua wanachambua kabisa habari ambayo inakua ndio kubwa kwawakati huo ULIMWENGUNI nanakumbuka walikua wanapenda sana kumuhusisha bw Ahmed Rajabu(nakumbuka walikua wanamuita mchambuzi nguli wasiasa zamashariki yakati) huyu bwana hasa alikua anazichambua sana SIASA zamashariki yakati
Yaani kiukweli DW walikua wanauchambuzi Murua sana sana sana tena sio wamaziwa makuu nakumbuka week end moja kama si j1 ni j2 hua ndio siku maalum kwahabari za Afrika tu kwaujumla wake yaani hapa habari zaulimwengu watapita pita tu juu juu ukipitwa ujue ndio kwaheri
Nakumbuka SYRIA waliichambua vyema sana kipindi ina anza mgogoro wake hapa 2011 ila ukweli ambao hamutaki kuusikia nikwamba habari ambazo zinakua zinawabana wao nawashurika wao huwa hawazishikilii bango kama wanavyozishikilia nyenginezo wanazitangaza kiukweli wanazitangaza ila tofauti na wanavyotangaza zawenziwao
DW walikua wanauchambuzi mmoja matata sana enzi hizo kiukweli kwasasa sijajua maana sipo huko ila ukweli nikwamba toka hio zamani habari ambazo zipo Negative nao hua hawazipendi kiviiiiile ila wanazigusia gusia kiukweli hawazikalii kimya moja kwa moja kama zilizo Negative kwa wenzao mfano maandamano ya IRAN 2009 yalichambuliwa sana pale DW yaani kiukweli sana mpaka nikajisikia faraja na raha ila yakigeuka kwao sasa [emoji23][emoji22][emoji4][emoji38][emoji14]
jamaa wamekua bias yaani hata kama hii habari wanaitangaza ila kwanlivyoizoea nasema hawaitangazi maana itakua sio yakwanza hii kwaupande wao.....Bila shaka kwa baadihi ya mifano ya habari zilizowahi kushikiwa kidedea uliyotoa, Nafaka akikusoma ataelewa sasa