BBC na DW kinachoendelea Marekani hamkioni?

ya kwet ya kiswahili acha kutetea ujinga hawa mbona wanatangaza mpaka vitu vidogo vidogo
We ndiye unabisha ujinga kasikiliza BBC ya Kingereza kama haijajaa maandamano yanayoendelea. BBC ya Kiswahili na idhaa zote za lugha ya Afrika zimelenga jamii husika na waafrika ndiyo maana inawapa habari nyingi za Kiafrika na wanaosikiliza ni Waafrika.
 
Kwa hiyo sisi hatuhitaji taarifa ya nje mbona unakuwa huelewi maana yangu?

Mimi najua inadili na Africa jambo kubwa kama ile isitangaze? Bado sijaona sababu ya kuwatetea mimi naona mpango wao watu wasikilizaji na waongeaji wa kiswahili wasiambiwa baba kajinyea
 
Wewe boya dira ya dunia maana yake nini usitufanye wote mambulula kama wew
 
Idhaa za kilugha lengo ni kuwapa zaiditaarifa zinazowazunguka, mfano idhaa ya kiswahili lengo ni habari za maziwa makuu. Inasikilizwa na watu wa maziwa makuu ndiyo maana habari zinazogusiwa sana ni za maziwa makuu na afrika kwaujumla. Hilo ndilo lengo haswa la idhaa hiyo. Ndiyo maana BBC ya Kingereza huwezi kukuta habari ndogo ndogo za Afrika, mfano ni mara ngapi uliwahi kuwa watazima BBC ya Kingereza ukasikia habari za Tanzania, unless iwe na habari kubwa sana.
Hviyo wewe ndiye huelewi lengo la hizi idhaa ni nini na nimeshakueleza.
 
wewe ni boya kwa kutokujua BBC Swahili imelenga nchi za Maziwa Makuu.
Haya mimi boya wewe mwerevu to a maana ya dira ya dunia si wangesema dira ya Africa au maziwa makuu
 
Kile kinachoendelea Marekani ingekuwa Afrika polisi wangeshaua RAIA wengi sana wasio na hatia. Wale askari wa Marekani ni wazalendo kwelikweli.
Wanakufa wengi sana Ila hawaeipotiw ndugu na tayar twetter inataka kufungwa kuna waandishi wa aljazeera wapo ndani
 
Haya mimi boya wewe mwerevu to a maana ya dira ya dunia si wangesema dira ya Africa au maziwa makuu
Ambacho huelewi ni nini, YEs ni Dira ya dunia maana ukiisikiliza utatangaziwa habari za dunia nzima lakini kwa juu juu ila habari za MAziwa makuu ndizo wataweka focus sana, hivyo hivyo ukienda kwenye nchi za Africa za West nako watatangaza habari za dunia nzima ila watafocus kwenye habari zinazowahusu wao zaidi hutosikia sijui wakimhoji nani toka Tanzania kama ulivyosikia BBC Swahili.
 
Wanakufa wengi sana Ila hawaeipotiw ndugu na tayar twetter inataka kufungwa kuna waandishi wa aljazeera wapo ndani
Umeona Jamaa yangu hata hajui anachotetea sijui ni wakala chombo chenyewe napata wasiwasi
 
ohoooo kumbe wanatangaza za pia,
Habari kubwa kwa sasa ni IPI ukiondoa covid mbona umazunguka Mkuu nyooka hawa hawajatutendea haki
 
Wewe nafaka kama una maslahi na hawa ila walikuwa wanaogopa kushambuliwa na marekani ile ni aibu
 
ohoooo kumbe wanatangaza za pia,
Habari kubwa kwa sasa ni IPI ukiondoa covid mbona umazunguka Mkuu nyooka hawa hawajatutendea haki
Kwani thread inasemaje au unachangia bila kujua hata mwanzisha thread kauliza nini?
 
Kwani thread inasemaje au unachangia bila kujua hata mwanzisha thread kauliza nini?
Tunabishana mimi na wewe ubaguzi wa taarifa labda kama hujanielewa ukaingia kichwa kichwa mimi nataka watangaze kitendo cha kutotangaza ni ubaguzi wa taarifa na wasiite dira ya dunia wewe unawatetea ndo nilikuwa nakushangaaa
 
We jamaa bila shaka ni mzembe sana
 
Tunabishana mimi na wewe ubaguzi wa taarifa labda kama hujanielewa ukaingia kichwa kichwa mimi nataka watangaze kitendo cha kutotangaza ni ubaguzi wa taarifa na wasiite dira ya dunia wewe unawatetea ndo nilikuwa nakushangaaa
Unafurahisha sana, huenda hata BBC huisikilizi, ni lini wamekosa kugusiamaandamano hayo yanayoendelea Maarekani? Kila siku wanagusia halafu wanaendelea na habaari za maziwa makuu. Kama wataka kujua kwa undani kasikilize BBC ya Kingereza
 
Ok haina shida mim nafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…