nafikiri we ni mmoja kati ya watu wanaosoma kichwa cha habari tu! pole sanaLabda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.
BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
Soma content ya post ya kwanza....usijibu uzi kwa kusoma heading! Kwa staili hii Mayalla, Paskali atakuwa nakuchanganya sana na thread zake.Maana heading za thread zake uwa ni pasua kichwa ukija kusoma content ukiwa umetulia.Labda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.
BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
ITV nao cku hz wamepotokaInabidi ifike kipindi ITV na TBC wawe wanasema 'tumekosa habari' kuliko kulazimishia na kuishia kituletea habari za hovyo hovyo...
Mkuu acha ubishi,,, mleta mada amesema ilikua n 1930 na ww unasem kila siku unasikiliza bbc world service sasa uelewek vip je hiyo bbc ulkua unaickiza huo mwaka wa 1930 au nd unaiskilza miaka ya hiv karbuni??Labda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.
BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
watu mnakurupukaLabda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.
BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
WanapindishapindishaITV nao cku hz wamepotoka
Kunradhi nilikuwa sijasoma vizuri tarehe, nilifikiri April18 ya jana, nikaona anatuingiza cha kike.Mkuu acha ubishi,,, mleta mada amesema ilikua n 1930 na ww unasem kila siku unasikiliza bbc world service sasa uelewek vip je hiyo bbc ulkua unaickiza huo mwaka wa 1930 au nd unaiskilza miaka ya hiv karbuni??
Mim mwenyew nimeion hiyo taarifa kam hauamin nenda bbcswahili.com kwenye kipngele chao cha Gumzo mitandaoni utaikuta hiyo taarifa.
imeeleza kuwa mnamo april 18 1930 siku ya jumanne bbc ilikosa habari saa tatu kasoro robo usiku,, ambapo mtangazaji alisema"hakuna habari" na muda uliotengw kwa habari takriban dk 15 kilipgwa kinanda ,zen baada ya hapo iliunganishwa moja kwa moja kwenda kweny kasri la Malkia ambapo ulkua ukichezwa muziki wa Wagner………!!!!! i hope utakua umeelewa mkuu!!!!
Bila kukurupuka usingekuwepo hapa wewe.watu mnakurupuka
Hahaaa mkuu umenifurahisha sana. Huwa nagombana nao sana watu wa aina hiyo humu jukwaani, nawsisitiza kujifunza somo la ufahamu(comprehension).nafikiri we ni mmoja kati ya watu wanaosoma kichwa cha habari tu! pole sana
Ukishaona mtu anakimbilia matusi ujue ameshaona aibu yake anajaribu kulinda hadhi yake.Bila kukurupuka usingekuwepo hapa wewe.
Hata Baba yako alimkurupukia Mama yako.
ukimkimbiza chizi uchi wewe mkimbizaji ndo utaonekana chiziBila kukurupuka usingekuwepo hapa wewe.
Hata Baba yako alimkurupukia Mama yako.
Kunradhi nilikuwa sijasoma vizuri tarehe, nilifikiri April18 ya jana, nikaona anatuingiza cha kike.
Muandishi wa habari kukosa habari ni uzembe,unaweza kuripoti mahojiano ya hisia za watu barabarani tu ukapata habari.
Duh...hizi ni laanaBila kukurupuka usingekuwepo hapa wewe.
Hata Baba yako alimkurupukia Mama yako.
Ingia bbc swahili utakuta hyo habar ya kukosa habar... Au facebook bbc swahili utakutana na linkLabda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.
BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?