BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

Wazenji mmefanya makosa kuwakaribisha hawa VIKOJOZI, hawana ustaarabu hata kidogo ni sawa na wanyama hawaangalii wanapo kojoa, mkiwakamata muwatahiri kwa nguvu
 
Waislamu hawaeleweki, rais ni mwislamu, makamu wake mwislamu, jaji mkuu, waziri wa ulinzi na IGP wooote ni waislamu, ni nini hasa wanachotaka? Ni mtoto kukojolea kurani au kuna lingine? Mpaka sasa sijaelewa madai yao ni yepi hasa ila nachobaini ni kuwa waislamu wanatumiwa na wazanzibari katika kutekeleza ajenda yao ya kujitenga
 
ifike wakati sasa basi, ukizingatia jinsi serikali ya marais watano wote waislamu, na majaji wakuu wote waislamu imekaa kimya, na sisi hasira inapanda tuuuuuu, huenda kikafanyika kitu dunia ikatikisika
 
so inawezekana uamsho wana conection na alkaida!!!!
 
tusishangae ndugu zangu tunaotoka kwa mama mkubwa,simnajua imani ya kiislam imetokana na utamaduni wa kiarabu,ambao chimbuko lao ni kutoka kwa mke mdogo wa Ibrahimu,tena na sikia alikuwa house gero.kwa lugha fasaha ya kiswahili mtoto anaezaliwa nje ya ndoa huitwa MWANAHARAMU,ndio mana hata matendo yao ni ya kiharamu tu,kama kuchoma makanisa na vitsho,tena kunarafiki yangu aliniambia kuwa wameruhusiwa kuoa wake wengi ili kufuta ukweli kwamba walitoka kwa mke mdogo.mtoto wa mke mdogo daima huona anaonewa.NI MUNGU Gani ambae amesema umtafute kwa kuua watu.
 
Mkuu hayo ni majina tu, Askofu wa kanisa Katoliki Zanzibar ni Shao
 
Reactions: SG8
Democracy999
Wakristo waoga sana

Mkuu, nimecheka sana. Sasa unataka wafanye nini? Nilipokuwa High School, nilijiunga na kikundi cha karate. Tulikuwa tunafunzwa namna ya kujihami. Lakini kitabu chake cha mafunzo ndicho kilinifanya nifuzu haraka-in fact-ilikuwa siku hiyo hiyo ya kwanza kuingia darasani maana kocha alikuwa anatubua kwelikweli kwa kisingizio cha kutukomaza. Kitabu kiliandika kwamba kanuni kuu ya "karate for defence" ni kutimua mbio. Timkia mbali sana na eneo la tukio kadiri ya miguu yako inavyoweza kukubeba. Huna haja ya kupigana kama hakuna ulazima! Hata wanyama wanafanya hivyo!- kilimalizia. Sasa kocha si ndiyo alikuwa anafanya upuuzi huo? Nilitimka!
 
Nasema tena uammsho, al qaida, al shaababy, na boko harama ni baba mmoja mama mmoja
 
Democracy999
Wakristo waoga sana

Mkuu, nimecheka sana. Sasa unataka wafanye nini? Nilipokuwa High School, nilijiunga na kikundi cha karate. Tulikuwa tunafunzwa namna ya kujihami. Lakini kitabu chake cha mafunzo ndicho kilinifanya nifuzu haraka-in fact-ilikuwa siku hiyo hiyo ya kwanza kuingia darasani maana kocha alikuwa anatubua kwelikweli kwa kisingizio cha kutukomaza. Kitabu kiliandika kwamba kanuni kuu ya "karate for defence" ni kutimua mbio. Timkia mbali sana na eneo la tukio kadiri ya miguu yako inavyoweza kukubeba. Huna haja ya kupigana kama hakuna ulazima! Hata wanyama wanafanya hivyo!- kilimalizia. Sasa kocha si ndiyo alikuwa anafanya upuuzi huo? Nilitimka!
 
Title na content mbali mbali. Askofu Agustino Shao na Martin Shao ni watu wawili tofauti. Kuwa makini unapoleta mada usikurupuke. Sasa tuambie alyetishiwa ni Martin Shao au Augustino Shao?
 
awapigwi konzi kwa sbb ni magaidi wenzao, ebu cheki safu hii, rais, makamu rais, Igp, kamanda kanda maalum dar, wote ni majaidina, nani mtetezi wetu apo
 
Reactions: SG8
ee mwenyezi mungu nakuomba hasira yako iwashukie wote wanaowasumbua na kuwatisha watumishi wako. Amen
 
huyo anayeasema wakristo waoga wanachoogopa nini .kuna chuo kinachofundisha kushika panga ..tutaweza tunachotumia ni busara tu .tiketi zetu zipo mkononi yakiendela tu tunarudi kulinda makanisa kwa heri hata kwa shari
asante mkuu waambia,.
 
Kwani wanaotishia kuchinja wengine shingo zao za nondo. Kwetu huku hakuna misikiti hivyo hata Watoto na wanawake huchinja. Hivyo hao wanaotamba kuchinja wengine watachinjwa na watoto na akina mama
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…