BBC Africa Eye: Uchunguzi wa BBC umefichua mitandao inayowauza watoto kwa faida nchini Kenya

babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
11,122
27,226
Ikitumia timu ya wachunguzi wa siri, BBC Africa Eye iliingia kwenye safu ya mitandao haramu, ikishuhudia watoto wakiibiwa kutoka kwa mama wasio na makazi na kuuzwa mitaani kwa kima cha dola za Kimarekani 450.

Mtoto wa kiume anaweza kuuzwa kwa dola 3000 za kimarekani. Lakini biashara hii ya kusikitisha haishii hapo.

Pia umebainika ushahidi wa watoto waliozaliwa wakiuzwa katika kliniki haramu, na watoto waliotelekezwa wakiuzwa na wafanyakazi wa afya katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki jijini Nairobi.

Usimamizi wa hospitali haukujibu madai hayo...

A year long investigation by BBC Africa Eye has uncovered damning evidence of a thriving underground network in Kenya that snatches babies from their mothers and sells them for a profit.
The secretive and highly lucrative trade preys on the country’s most vulnerable, stealing children from the streets and even the maternity ward of a major government hospital.
Njeri Mwangi reports from Nairobi.

 
Wazee wa fursa
Wamepiga rushwa wakaona hailipi sana wakahamia kwa binadamu
kila la heri wazee wa GDP
 
Back
Top Bottom