Chukua sarafu ya shillingi 200 au 100.
Weka kichwa kuwa chuo kimojawapo na mkia kuwa chuo kingine.
Nuia kuwa upande wa sarafu utakaotazama juu ndio chuo utakachokwenda kama ulivyoainisha.
Rusha sarafu hiyo kwa kuizungusha hewani. Inapokuwa hewani, kuna upande mmoja utakaoukuwa unatamani sarafu idondokee. Nenda chuo kinachowakilishwa na upande huo.
Chagua kile unachokitamani.