Mkuu hii ndo siri yako ya kutusua maishan nini...procurement ndo habari ya mjini wazee wa 10%...
Angalia vizuri misumari ya kichwa chako nadhani imelegea kidogo..Nahic mtu wa BBA anaweza Fanya kazi zote zizikiwemo za acc,procurement na HR,cjui km Niko sahh
we ni punguani ama......Mkuu hii ndo siri yako ya kutusua maishan nini...
hayo mi hayanihusu kula mema ya nchi.....Naomba kuweka wazi kuwa mimi ni mwana taaluma wa Manunuzi (procurement expert). Sikubaliani na 24hrs hata kidogo. Na naomba uache kupotisha watu. 10% ni maneno ambayo yanaongelewa bila kufikiri na mwisho huleta shida kwenye taaluma. Shida hizo ni kama ifuatavyo: kwanza wanajitokeza wanataaluma bandia ambao lengo ni kutafuta 10%. Ukimuuliza kitu gani kimekufanya usome procurement kama ni mkweli, jibu atakalo kupa ni kama maneno yako 24hrs. Ukimuuliza maswali ya kitaaluma ndo utagundua alisoma ili afaulu tu. Kazini nimekutana na watu wana masters, ila mwambie aandae nyaraka za zabuni itachua mwezi na bado hajui kitu. Hiyo ni uvamizi wa taaluma na watu wanaoshawishika na maneno kama yako. Pili kuna watu wa taaluma nyingine maofisini ambao hutaka kulazimisha imani hizo na kuamini kupata hela kupitia manunuzi hivyo kuishia kuwashawishi wahusika wa procurement kuongeza bei au wakikataa kuwalaumu wanakula peke yao. Ifike muda sasa wewe na wengine mtambue kuwa nchi hii inaendeshwa kwa sheria, kanuni, taratibu na kiongozi. Wapi panaruhusu 10%? Procurement ni taaluma kama nyingine hivyo taaluma hiyo ina miiko yake yaani code of ethics. OMG natamani kuongea na kufafanua umma uelewe na wewe ukiwemo pia
ujapatajibu kama umesoma ECA form six account haitokupa tabu vinginevyo utaliwa kichwa....So procurement na account nani zaid
kujiajiri ni plan b si lazima wote tuajiriwe .....Tatizo la hizi course ni ajira na ushindani! leo ht ukitangaza ajira kwa utani watu utawakimbia,,nashauri tuanze kuangalia na course zingine hili tuwe na balance ya wataalamu.
naona BBA kwasababu kama lengo lako ni kupata ajira unakuwa na wigo mpana kuliko hizo zingine ingawa sizidharau. Accountancy itakubidi uwe na CPA pia ambayo inasemekana ina ugumu katika kuipata. Procurement pia itakubidi uwe certified PSPTB ila nahisi kwao sio kugumu kama NBAA.
Procuremenna hii mitihani yake
Nahii mitihani ya PSPTB huwa inafanyika Chuoni au kunasehem huwa inatolewa na kama ni sehem vigezo gani huwa wanataka ili uweze Kupatanaona BBA kwasababu kama lengo lako ni kupata ajira unakuwa na wigo mpana kuliko hizo zingine ingawa sizidharau. Accountancy itakubidi uwe na CPA pia ambayo inasemekana ina ugumu katika kuipata. Procurement pia itakubidi uwe certified PSPTB ila nahisi kwao sio kugumu kama NBAA.