Msaada jamani blackberry yangu imezima gafla wakati nachati kwenye net ila nikiwasha ina load haimalizi kabisa.Nimejaribu kudownload firmware ya blakberry ila sim nikiunga na usb haisomi kwenye computer mana haimaliz ku load msaada jamani kwa mwenye ujuzi na matatizo kama hayo.
Hamna sababu ya kupeleka kuflashiwa kama umedownload firmware yake install kwenye computer yake na hakikisha una delete vendor file.. Tumia Apploader kuflash bb yako.
ina Run Software Ipi? 4.6 Or 5,then Inapo load Inakuonyesha Error Code Yoyote?? Nijibu Nikupe Maelezo Nimeshakutana Na Matatizo kama Hayo,so hopefully ntakuelekeza na utatatua tatizo.