Bb bold 9900 inatafutwa!

Bb bold 9900 inatafutwa!

Ruzyfar

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
55
Reaction score
2
heya kama kuna m2 anaweza fanya mpango wa hyo cm hapo juu!
Anitajie bei
ni pm 2malzane fasta fasta
 
Mimi ninayo hiyo simu katika mizigo ambayo natarajia kuituma hivi karibuni lakini kwa kuwa unahitajia basi itabidi niitowe katika mzigo na kumpatia mtu mkononi nitafute huyo mtu anayeondoka kuja huko haraka
 
kias gan kwnza ni pm!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom