hiyo mechi ni saa ngap east African time wakuu...nataka niangalie jinsi mourino anavyonyolewa....
hiyo ni Real madrid Vs Barcelona[/UOTE]
hiyo mechi ni saa ngap east African time wakuu...nataka niangalie jinsi mourino anavyonyolewa....
Dakika ya 7 Chelsea wamejipatia bao kupitia kwa Torres. Mpira ni dk ya 13 sasa
Torres kafunga goli zuri.., ila bado chelsea wana shughuli pevu..
Wewe mgeni na team za
Guardiola eeh? Bayern ndio wana shughuli pevu leo na wasipozawazisha
mpaka halftime then itakula kwao
lakin buyern wnashambulia zaid ya chelsea
Morinho amepaki basi la scandinaviun nyuma hapapiti kitu
Huyo c kocha