Kula matunda yenye nyuzinyuzi ( mf. Embe) na mengine yenye kilainishi (mf. papai n.k)na salad kwa wingi. Punguza vyakula vya wanga nyingi (carbonic acid) mf. Corn 🌽 na wali. Pia usitumie pombe Kali.
Ukitokea umekula nyama nyingi na fast food nyingi next day piga salad na matunda kwa wingi.
Hiyo ni sugu tiba yake ni kupiga bomba 2mils kupitia haja kubwa dawa isiingie zaidi ya sm 10 kuna vifaa maalum.
Lakini kuna mixture ya dawa tatu zinazotumika. Nitafute.
mkuu nenda sehemu wanapouza dawa za asili ulizia "kash kash maua"..ukizipata nenda kachemshe kidogo kidogo kama unavochemsha chai ya rangi, unywe glass 1 kila siku asubuh na jioni..ndani ya wiki 2 mkpk wiki 4,urudi kutoa majibu
Chukua dozi Moja. Chamsingi zingatia ulaji wa matunda na mbogamboga. Punguza ulaji wa wanga na nyama ikilazimika ule pamoja na salad, fruits etc (papai ni zuri zaidi ule kidogo na mbegu zake). Pendelea ulaji wa viazi vitamu, vikuu (epuka viazi ulaya), ndizi, mtama, uwele , wild rice, MABOGA nk lengo nikupunguza ulaji wa wanga mbaya inayopatikana kwenye mahindi na Michele.
Epuka pombe Kali, spirit, Gin etc
Shukran.