MAFIA MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 430
- 552
Habari wanajamii forum.mimi ni kijana wa miaka 25,nimejigundua ninaugonjwa wa BAWASILI wiki moja iliyopita na hapohapo nikaanza matibabu japo hii yangu ni stage ya kwanza na inaonekana ni ndogo sana,tangu nianze matibabu ya dawa za mahospitalini ninaweza kusema ninashukuru sana kwa sababu yananisaidia kiasi flani,lakini pia nimepata na misaada kwa waliowahi kuwa wagonjwa wa tatizo hili na maelezo yao pia nimeanza kuyatumia muda si mrefu wakati nipo kwenye dozi ya hospitali.Nimeona si vibaya nitoe maelezo kwa wagonjwa wengine wa tatizo hili
KUNYWA MAJI MENGI kuanzia lita 2.5 hadi 3 kwa siku ili kuongeza damu,mzunguko mzuri wa oxygen mwilini,mmenyenyo bora wa chakula tumboni na nyingine nyingi.
ZINGATIA VYAKULA VYA NYUZI NYUZI(fiber).kama vile mboga za majani mchicha,majani ya maboga,matunda ya ardhini viazi vitamu,matunda ya papai,matofaa,ndizi na maparachichi.
PUNGUZA VYAKULA VYA KUKAANGA,
PUNGUZA KULA NYAMA NYEKUNDU kama vile nyamba ya ngombe,mbuzi na nguruwe au lasivyo ikiwa ni sehemu ya mlo wako mara kwa mara hakikisha imepikwa na kulianika sana ili isikae tumboni kwa muda mrefu,nyama za kuku wa kienyeji na samaki havina madhara kwa mgonjwa wa BAWASILI.
ZINGATIA UKAAJI usipende kukaa kwa muda mrefu ikiwa unasumbuliwa na ugonjwa huu.
EPUKA .SONGO WA MAWAZO.
USIPENDE KUBEBA VITU VIZITO MARA KWA MARA najia huenda ni kikazi au sehemu ya mazoezi ni bora kujichunga kuliko kuingia katika matatizo na ikiwa ni mazoezi basi penda kuendesha baiskeli walau dakika 30 au workout maana ni muhimu kiafya inamchango wa kupunguza tatizo hili,ikiwa wewe ni mtu wa weight lifting na unatamani kuendelea,tathmini tatizo lako lakini pia ni muhi.u zaidi kumwona daktari.
TIBA KWA HARAKA ZAIDI fanya mabadiliko ya matatizo yaliyoorotheshwa hapo juu ili kujenga afya yako lakini pia zingatia matumizi ya madawa
TIBA ASILI
MAJANI YA MNYONYO.
Tumia majani ya mnyonyo kujikanda sehemu husika(chemsha majani yako mawilihadi matano yasiwe ya moto<vuguvugu>jikande jani moja baada ya lingine hadi yatakapo poa)
MAFUTA TA MNYONYO
Utumiaji wa dawa hii hauna utofauti na ANUSOL.utakuwa unajipaka sehemu husikwa kwa kujiingiza ndani ya mkundu.
BINAFSI NINAENDELEA NA TIBA NA MATUMAINI YA KUPONA KABISA NINAYO HIVYO KAMA UNASUMBULIWA NA UMETUMIA MBINU NILIZOORODHESHA HAPO JUU NA HUJAPONA,INATEGEMEANA PIA...0787978654