Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Mnyukano wa chini kwa chini ndani ya cdm kati ya Bavicha na 4U movement inaelekea kuwapa ushindi vijana watiifu kwa Lowassa 4U movement chini ya Hemed Ally jambo litakalo sababisha wanazi wa Bavicha kukimbilia Act Wazalendo
Hiii umetunga yaani tukijenge chama alafu tukibomoe then tukaanze kusuka kingine hivi unajua act itachukua miaka mingapi kupata nguvu kama cdm na wasipoangalia 2020 kitapotea na kukosa hata mbunge mmoja
Hii ni ramli auMnyukano wa chini kwa chini ndani ya cdm kati ya Bavicha na 4U movement inaelekea kuwapa ushindi vijana watiifu kwa Lowassa 4U movement chini ya Hemed Ally jambo litakalo sababisha wanazi wa Bavicha kukimbilia Act Wazalendo
Medeye kaenda kunyemelea kiti cha ubunge Afrika mashariki,anajua ni dhahiri mgombea toka ukawa hatopitishwa na ccm hata iwejelabda waende UDP na mh medeye
ww ushawahi kutia chumvi kwenye chai.Hiyo sio chai ni supu. Huku mtaani nako hali ni mbaya hadi inafikia wananchi kuunga chumvi kwenye chai. .
Mliozoea mtelemko na wiziwizi lazima muone maisha magumu maana siku hizi upigaji unaenda unapungua.Achana na hilo la CHADEMA vs ACT, mimi nimeshatabiri kwamba serikali ya awamu ya tano itakaa madarakani kwa awamu moja tu ya miaka mitano. Kwa sababu maisha yanazidi kuwa magumu kila uchao. Jana tumeambiwa madaktari wa hospitali za rufaa wamepunguzwa mishahara kwa 30%, juzi tuliona kupitia ITV taarifa kwamba mizigo imepungua huko kwenye bandari kavu hata waajiri wanafikiria kupunguza wafanyakazi. Huku mtaani nako hali ni mbaya hadi inafikia wananchi kuunga chumvi kwenye chai. Ni watanzania wachache sana wanaoipenda CCM hasa ni wale walionufaika kwa kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali pamoja na familia zao.
Wewe ambaye si mpigaji unanini? Si mawe umechoka tu zaidi yetu,?Mliozoea mtelemko na wiziwizi lazima muone maisha magumu maana siku hizi upigaji unaenda unapungua.
tulia uandike vizuri...........!!!!!!!! mwaka huu lazima muisome namba.Wewe ambaye si mpigaji unanini? Si mawe umechoka tu zaidi yetu,?