Ndugu wanabodi.
Juzi kijana huyu mjumbe wa UVCCM TAIFA NA KATIBU WA CCM UDOM, Alitoa kauli ya kumwita Heche ni Mnafki na msaliti alipokuwa akizungumza na Redio Mwangaza fm.
Alisema kitendo cha Heche kushinikiza Kawabwa kujiuzuru na la sivyo kuitisha Maandamano ya wanafunzi waliofeli ni Unafki na Usaliti wa kutumia fikira Ombwe.
Kiongozi mwandamizi wa BAVICHA Aliyekwenye Msafara Mh. Afi amesema Ndabila hakuhitajika kusema Maneno hayo kwani amewadharirisha wana Mbeya na Ileje waliofeli. Amesema Ndabila ameshindwa kuinusuru CCM UDOM Kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na sisi Makamanda. Hivyo amwache na harakati zake na kamwe hawatarudi nyuma.