Ule msemo wa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; umetimia ndani ya CDM kwa kitengo chao cha Vijana kuzidi kusambaratika kimtazamo na kujikita katika kutoa kauli tata ambazo zinakosa mshiko machoni mwa jamii.
Suala la Shibuda limeleta msuguano miongoni mwa uongozi wa juu BAVICHA huku Mwenyekiti Taifa (John Heche) na Makamu Mwenyekiti Taifa (Juliana Shonza) wakitoa kauli zenye utatanishi kuhusu kumpinga Mheshimiwa Shibuda.
Watanzania tulio makini, tumekuja kuamini kuwa BAVICHA ni genge la washikaji wachache wanaondekeza maslahi yao kuliko maslahi ya taifa. Kitengo hiki ndani ya CDM kimekuwa ni taasisi binafsi yenye mlengo wa kulinda maslahi ya Mbowe & Co kwa kutumia kivuli cha UTAIFA zaidi. Tunashukuru siku zinavyosonga mbele CDM inazidi kujiweka UCHI na kuwapa nafasi watanzania kuamini yale yaliyotamkwa siku za nyuma kuhusu CDM kama taasisi ya walio wachache wanaotumia migongo ya wengi KUSHIBISHA MATUMBO YAO. Hivyo maneno ya viongozi wa BAVICHA imetupa ushuhuda kuwa wao ni wanagenge lililo na maslahi binafsi na wala sio umma, asante dada Juliana Shonza kutoboa uozo uliopo BAVICHA na CDM kwa ujumla
Ongezea Na ya ukaskazini ili thread yako ikamilike na Dau kutoka kwa Nape liongezekeUle msemo wa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; umetimia ndani ya CDM kwa kitengo chao cha Vijana kuzidi kusambaratika kimtazamo na kujikita katika kutoa kauli tata ambazo zinakosa mshiko machoni mwa jamii.
Suala la Shibuda limeleta msuguano miongoni mwa uongozi wa juu BAVICHA huku Mwenyekiti Taifa (John Heche) na Makamu Mwenyekiti Taifa (Juliana Shonza) wakitoa kauli zenye utatanishi kuhusu kumpinga Mheshimiwa Shibuda.
Watanzania tulio makini, tumekuja kuamini kuwa BAVICHA ni genge la washikaji wachache wanaondekeza maslahi yao kuliko maslahi ya taifa. Kitengo hiki ndani ya CDM kimekuwa ni taasisi binafsi yenye mlengo wa kulinda maslahi ya Mbowe & Co kwa kutumia kivuli cha UTAIFA zaidi. Tunashukuru siku zinavyosonga mbele CDM inazidi kujiweka UCHI na kuwapa nafasi watanzania kuamini yale yaliyotamkwa siku za nyuma kuhusu CDM kama taasisi ya walio wachache wanaotumia migongo ya wengi KUSHIBISHA MATUMBO YAO. Hivyo maneno ya viongozi wa BAVICHA imetupa ushuhuda kuwa wao ni wanagenge lililo na maslahi binafsi na wala sio umma, asante dada Juliana Shonza kutoboa uozo uliopo BAVICHA na CDM kwa ujumla
Ule msemo wa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; umetimia ndani ya CDM kwa kitengo chao cha Vijana kuzidi kusambaratika kimtazamo na kujikita katika kutoa kauli tata ambazo zinakosa mshiko machoni mwa jamii.
Suala la Shibuda limeleta msuguano miongoni mwa uongozi wa juu BAVICHA huku Mwenyekiti Taifa (John Heche) na Makamu Mwenyekiti Taifa (Juliana Shonza) wakitoa kauli zenye utatanishi kuhusu kumpinga Mheshimiwa Shibuda.
Watanzania tulio makini, tumekuja kuamini kuwa BAVICHA ni genge la washikaji wachache wanaondekeza maslahi yao kuliko maslahi ya taifa. Kitengo hiki ndani ya CDM kimekuwa ni taasisi binafsi yenye mlengo wa kulinda maslahi ya Mbowe & Co kwa kutumia kivuli cha UTAIFA zaidi. Tunashukuru siku zinavyosonga mbele CDM inazidi kujiweka UCHI na kuwapa nafasi watanzania kuamini yale yaliyotamkwa siku za nyuma kuhusu CDM kama taasisi ya walio wachache wanaotumia migongo ya wengi KUSHIBISHA MATUMBO YAO. Hivyo maneno ya viongozi wa BAVICHA imetupa ushuhuda kuwa wao ni wanagenge lililo na maslahi binafsi na wala sio umma, asante dada Juliana Shonza kutoboa uozo uliopo BAVICHA na CDM kwa ujumla
Si tu ujinga bali upuuzi wa hawa watoto wa baraza la vichaa wa chadema wanaotafuta majina kisiasa!MINAKUBALIANA NAYE NI UJINGA VIONGOZI WA OFISI MOJA KUPINGANA KWENYE VYOMBO VYA HABARI!
NI UPUMBAVU MKUBWA SANA NA AIBU YENU BAVICHA! c
BenNi fedheha sana kwa kijana kuwa mnafiki kiasi hiki.
ni fedheha sana kwa kijana kuwa mnafiki kiasi hiki.
Ule msemo wa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; umetimia ndani ya CDM kwa kitengo chao cha Vijana kuzidi kusambaratika kimtazamo na kujikita katika kutoa kauli tata ambazo zinakosa mshiko machoni mwa jamii.
Suala la Shibuda limeleta msuguano miongoni mwa uongozi wa juu BAVICHA huku Mwenyekiti Taifa (John Heche) na Makamu Mwenyekiti Taifa (Juliana Shonza) wakitoa kauli zenye utatanishi kuhusu kumpinga Mheshimiwa Shibuda.
Watanzania tulio makini, tumekuja kuamini kuwa BAVICHA ni genge la washikaji wachache wanaondekeza maslahi yao kuliko maslahi ya taifa. Kitengo hiki ndani ya CDM kimekuwa ni taasisi binafsi yenye mlengo wa kulinda maslahi ya Mbowe & Co kwa kutumia kivuli cha UTAIFA zaidi. Tunashukuru siku zinavyosonga mbele CDM inazidi kujiweka UCHI na kuwapa nafasi watanzania kuamini yale yaliyotamkwa siku za nyuma kuhusu CDM kama taasisi ya walio wachache wanaotumia migongo ya wengi KUSHIBISHA MATUMBO YAO. Hivyo maneno ya viongozi wa BAVICHA imetupa ushuhuda kuwa wao ni wanagenge lililo na maslahi binafsi na wala sio umma, asante dada Juliana Shonza kutoboa uozo uliopo BAVICHA na CDM kwa ujumla
Si tu ujinga bali upuuzi wa hawa watoto wa baraza la vichaa wa chadema wanaotafuta majina kisiasa!
MINAKUBALIANA NAYE NI UJINGA VIONGOZI WA OFISI MOJA KUPINGANA KWENYE VYOMBO VYA HABARI!