Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Usitutoe kwenye mada toka lini ccm wakamchagua mwenyekiti wao wa chama kama sio kukabidhiana vijitiBAVICHA waanze kwanza kupigania Demokrasia ndan ya Chama chao ndio waje Taifani.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa Chadema wakati huo Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu lakin bado mwenyekiti wao anawalazimisha Wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar kwenye ishu zake
Nimeipenda hii naomba niitumie mkuu! Hahahaha!BAVICHA waanze kwanza kupigania Demokrasia ndan ya Chama chao ndio waje Taifani.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa Chadema wakati huo Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu lakin bado mwenyekiti wao anawalazimisha Wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar kwenye ishu zake
Naoma tumia na hii lini ccm mtamchagua mwenyekiti wenu na siyo kukabidhiana vijiti?Nimeipenda hii naomba niitumie mkuu! Hahahaha!
Nimemshangaa sana. Au yeye ndo alimwandikia speech kwa hiyo alikuwa anajua alichokuwa anasema. Yaani wengine wote waelewe isipokuwa huyu bwana Mutungi. Ina maana hata yeye hajiamini?jaji mutungi amejidhalilisha sana...
Ungejiuliza kwanza Mbowe huwa anateuliwa au anachaguliwa kwny uenyekiti wa Chadema.Naoma tumia na hii lini ccm mtamchagua mwenyekiti wenu na siyo kukabidhiana vijiti?
#mchezohuuhauitajihasira#
Baki kwenye Mada huku ukijua kuwa Ukijitokeza kumpinga Mbowe huishia kuitwa msaliti. Zitto na Slaa wanalijua.Usitutoe kwenye mada toka lini ccm wakamchagua mwenyekiti wao wa chama kama sio kukabidhiana vijiti
Makaratasi wamevaa wao, imekuathiri nini?BAVICHA waanze kwanza kupigania Demokrasia ndan ya Chama chao ndio waje Taifani.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa Chadema wakati huo Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu lakin bado mwenyekiti wao anawalazimisha Wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar kwenye ishu zake
CCMChama Cha Majambazi katika ubora wao! Siwaelewagi mm
Jibu hili kwanza usitutoe kwenye mada mtaacha lini kukabidhiana vijitiUngejiuliza kwanza Mbowe huwa anateuliwa au anachaguliwa kwny uenyekiti wa Chadema.
1) Mbowe asingemuoa Mtoto wa Edwin Mtei asingekuwa Mwenyekiti wa Chadema.
2) Chadema tangu imeanzishwa haijawahi kuruhusu mchakato wa kumpata mgombea Urais ndan ya chama kwa njia ya kura. Kuanzia Mbowe 2005,Slaa 2010 na Lowassa 2015.
Binafsi nimemshangaa sana ! Hivi wasomi wa nchi hii wamekumbwa na dudu gani ?jaji mutungi amejidhalilisha sana...