Baraza la vijana lililopita halikufanya kazi zake kwa uhuru, lilijiegemeza mgongoni kwa viongozi! Kwa mfano mwenyekiti Bavicha anayemaliza muda wake hajawahi kufanya ziara ya kujenga chama mikoa ya kusini kama ruvuma na hata iringa. Tunaomba viongozi wa bavicha wapya wajitaidi kufanya oparesheni nchi nzima bila kutegemea viongozi wa juu!