BAVICHA kuandaa maandamano nchi nzima

kwani wabunge wa gamba wamefanya nini kwenye majimbo yao,ndio kwanza wanaboa kwa kulilia posho
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. wajinga wameshaliwa. watu wanajifanya mabalozi wa kukijibia Chama humu, kumbe hawakijui chama wala hakiwajui wao. Unacheza wewe! Mtu ameshindwa kwenye dini ndo aje aweze kwenye siasa?

Ni kinyume kabisa na unavyofikiri,hapo kwenye bold hujui unachokisema
 

ndugu tumia ubongo vizuri. Kama maandamano yanatumia mil40 kwa siku kadhaa alaf serikali ya ccm inatumia mil.50 ndani ya masaa36 kumsafirisha Aikaeli Mbowe kwenda Arusha kwa ulinzi mkali zaidi ya rais mtawala. Serikali yetu ni kama haina cost analysers. Acha kuhurumia ela inayojenga elimu ya uraia na ustawi wa jamii wakati tuliyopewa tuitumie tunaichezea.
 

Mkuu, mbona hoja yako nyepesi sana kwani Mbowe anakamatwa kila siku? Maandamano kwa wastani yanafanyika kila mwezi mara mbili
 
Kweli mkuu, mambo ya ajabu kabisa kila kukicha wabunge wa Chadema wao na maandamano nchi aijengwe na maandamano

Eti eeeh ila inajengwa na uonevu na mafisadi?
 

nepi kawapa komputa mtoe maada halafu mchangie wenyewe? Unapiga ngoma na kuicheza peke yako?
nyie na nepi wenu mna akili za kushitua kwenye miteremko, kwani wabunge wa chadema akikaa mhula mmoja nyie kina wauma nini? Ati we mwingine halafu raha usikie wewe. Maajabu sana haya

nyie ni mijusi tu
 
Niliwaambia kwenye nyuzi nyingine kule watumie "scientific approach" kwenye siasa. Hawajui kuwa ngoma ikivuma sana hupasuka. Hawana jipya na hao wanaoandaa maamndamo wamejipatia njia moja ya kujipatia posho kiulaini.

maandamano ndiyo yaliyomfanya mzee mwenye kinundu usoni afukuzwe na kamati yake ya magamba na bado yataendelea kuwatesa magamba foxy wee!
 
Peaceful demostration is the weapon that cuts without wounds 'Dr Martin luther king'
 
Wananchi wenye uchungu wa kweli wa nchii tupo kamili na tutaandamana,mpaka tuikomboe nchi hii!
 
Kweli mkuu, mambo ya ajabu kabisa kila kukicha wabunge wa Chadema wao na maandamano nchi aijengwe na maandamano

kwa hiyo inajengwa kwa kukwapua mali ya umma? Msalimie nape mwambie akupe ujira wako kwa leo.
 

sikuelewi mkuu, kwani rekodi ya kupigwa mawe wabunge wa ccm inapingana na haya uliyoandika.
 
kwa hiyo inajengwa kwa kukwapua mali ya umma? Msalimie nape mwambie akupe ujira wako kwa leo.

Mkuu, mimi nipo humu JF, kabla huyo Nape unaembabaikia ajachagulia ata ukuu wa wilaya, lete hoja usilete porojo
 
Mimi ni Independent Thinker
 
umechemka , money circulation hapo ni muhimu ulitaka hizo fedha zikae kwenye akaunti ya chama ili iweje, sija kuelewa ulichotaka kumanisha hapo ? sii imeenda kwa watanzania ? kuna tatizo hapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…