Umetumwa na NAPE naona unawza kwa kutumia makamasi wewe,haya wasalimu masaki huko,na mdogo wako anayesoma MarekaniWatanzania wenye uchungu na nchi yetu, pesa yetu walipa kodi (Ruzuku) inakwenda tena kwenye maandamano wanakwenda kugawana posho za maandamano, Chadema wamefanya maandamano kama Sekta yao ya kugawania pesa zetu Watanzania, Takwimu zinaonyesha kila maandamano yanatumia zaidi ya milioni 40, na nchi hii ilivyokua kubwa mpaka waimalize kwa maandamano sijui watatumia kiasi gani cha pesa zetu Watanzania.
Si bora hizo pesa wangechimba visima kila jimbo walioshinda uchaguzi au wangenunua madawati watoto wetu wapate pakusomea wananchi wangewapongeza
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche amesema ataandaa mikutano itakayofanyanyika nchi nzima kulaani kitendo cha kukamatwa na kuwekwa ndani mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi jana kwa njia ya simu akiwa Mwanza, Heche alisema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa agizo lilitolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willirbrod Slaa la kuruhusu vijana wa chama hicho kuandamana nchi nzima.
"Katibu ameishatoa tamko la kuruhusu maandamano nchi nzima mimi naunga mkono tamko hilo natarajia kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mikutano hiyo kwa baadhi ya mikoa." alisema Heche na kuongeza maandamano yanatarajia kufanyika wakati wowote.
SOURCE: MWANANCHI JUNI 8, 2011
Wabunge wa CDM wasipochukua hatua za kusimamia maendeleo ya majimbo yao huenda wakaongoza hayo majimbo kwa kipindi kimoja tuu. Wengi wao wamejikita katika kukitangaza chama kitaifa (ushiriki wao kwenye maandamano sehemu mbali mbali nchini) badala ya kusimamia maendeleo sehemu walizopigiwa kura. Madhalani tuchukulie Jimbo la Arusha mjini, moja ya wafuasi wakubwa wa CDM ni Wamachinga na ahadi kubwa aliyotoa Mh. Mbunge ni kujenga Machinga Complex mbili. Leo hii, ambapo imebaki takribani miaka minne na miezi mitatu kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2015 hakuna lolote (tangible) liliofanyika. Mvuto alioanza na Mh. Mbunge wa Arusha mjini kama hataweka mbele utekelezaji wa yale aliyoahidi, huenda mvuto wake kwa wapiga kura ukafifia kwa stahili ile ile ya Raisi wetu wa sasa.
Wabunge wa CDM wasipochukua hatua za kusimamia maendeleo ya majimbo yao huenda wakaongoza hayo majimbo kwa kipindi kimoja tuu. Wengi wao wamejikita katika kukitangaza chama kitaifa (ushiriki wao kwenye maandamano sehemu mbali mbali nchini) badala ya kusimamia maendeleo sehemu walizopigiwa kura.
Madhalani tuchukulie Jimbo la Arusha mjini, moja ya wafuasi wakubwa wa CDM ni Wamachinga na ahadi kubwa aliyotoa Mh. Mbunge ni kujenga Machinga Complex mbili. Leo hii, ambapo imebaki takribani miaka minne na miezi mitatu kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2015 hakuna lolote (tangible) liliofanyika.
Mvuto alioanza na Mh. Mbunge wa Arusha mjini kama hataweka mbele utekelezaji wa yale aliyoahidi, huenda mvuto wake kwa wapiga kura ukafifia kwa stahili ile ile ya Raisi wetu wa sasa.
Watanzania wenye uchungu na nchi yetu, pesa yetu walipa kodi (Ruzuku) inakwenda tena kwenye maandamano wanakwenda kugawana posho za maandamano. Chadema wamefanya maandamano kama Sekta yao ya kugawania pesa zetu Watanzania.
Takwimu zinaonyesha kila maandamano yanatumia zaidi ya milioni 40, na nchi hii ilivyokua kubwa mpaka waimalize kwa maandamano sijui watatumia kiasi gani cha pesa zetu Watanzania.
Si bora hizo pesa wangechimba visima kila jimbo walioshinda uchaguzi au wangenunua madawati watoto wetu wapate pakusomea wananchi wangewapongeza.
Heche mwenyewe kachaguliwa kwa rushwa, zengwe, (Bavicha) leo na yeye anataka kuwaingiza watu barabarani hii kweli ni Deceit kabisa
Halafu rushwa zenyewe walizianika humu JF mpaka za shillingi 1,500/= Wananchekeshaa!
Watanzania wenye uchungu na nchi yetu, pesa yetu walipa kodi (Ruzuku) inakwenda tena kwenye maandamano wanakwenda kugawana posho za maandamano. Chadema wamefanya maandamano kama Sekta yao ya kugawania pesa zetu Watanzania.
Takwimu zinaonyesha kila maandamano yanatumia zaidi ya milioni 40, na nchi hii ilivyokua kubwa mpaka waimalize kwa maandamano sijui watatumia kiasi gani cha pesa zetu Watanzania.
Si bora hizo pesa wangechimba visima kila jimbo walioshinda uchaguzi au wangenunua madawati watoto wetu wapate pakusomea wananchi wangewapongeza.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. wajinga wameshaliwa. watu wanajifanya mabalozi wa kukijibia Chama humu, kumbe hawakijui chama wala hakiwajui wao. Unacheza wewe! Mtu ameshindwa kwenye dini ndo aje aweze kwenye siasa?