Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Ni cheche za BAVICHA ndizo zitakazoiambia dunia kuwa huku Tanzania kuna ubakaji wa demokrasia ,ni wazi msisimko wa wananchi utahuishwa tena badala ya kupita uchaguzi wa ujecha na ulubuva ni wazi wananchi wanaiangalia Serikali hii mpya kwani majigambo yamekuwa makubwa sana ila sheria zinapindishwa.
Wanachama wa vyama vyote vinavyounda UKAWA ni lazima waungane katika hili,wasiachwe BAVICHA peke yao,katika kutetea maslahi ya msingi juu ya muendelezo wa uvunjwaji sheria mpaka Serikali ya CCM iwe sikivu na kuacha kucheza na sheria.
Hakuna Chama kilicho juu ya sheria na kwa muono huo ipo haki ya kukataa kwa pamoja na hili inabidi lijumuishe nchi nzima ikiwa kwa maandamano au mikutano ,kuifahamisha dunia kuwa sasa tanzania sheria hazina mashiko.
Wito utolewe na wakuu wa vyama vya siasa kuziandikia balozi zote zikiwemo za Uchina na Uhindini kuielezea hali hii inayoanza kuota mizizi.
Hongera BAVICHA kama Pemba vile.