BAVICHA isiwachwe peke yao iwe nchi nzima

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Ni cheche za BAVICHA ndizo zitakazoiambia dunia kuwa huku Tanzania kuna ubakaji wa demokrasia ,ni wazi msisimko wa wananchi utahuishwa tena badala ya kupita uchaguzi wa ujecha na ulubuva ni wazi wananchi wanaiangalia Serikali hii mpya kwani majigambo yamekuwa makubwa sana ila sheria zinapindishwa.

Wanachama wa vyama vyote vinavyounda UKAWA ni lazima waungane katika hili,wasiachwe BAVICHA peke yao,katika kutetea maslahi ya msingi juu ya muendelezo wa uvunjwaji sheria mpaka Serikali ya CCM iwe sikivu na kuacha kucheza na sheria.

Hakuna Chama kilicho juu ya sheria na kwa muono huo ipo haki ya kukataa kwa pamoja na hili inabidi lijumuishe nchi nzima ikiwa kwa maandamano au mikutano ,kuifahamisha dunia kuwa sasa tanzania sheria hazina mashiko.

Wito utolewe na wakuu wa vyama vya siasa kuziandikia balozi zote zikiwemo za Uchina na Uhindini kuielezea hali hii inayoanza kuota mizizi.

Hongera BAVICHA kama Pemba vile.
 
tunataka mwenyekiti mpya chadema, mbowe miaka 12 inamtosha!! waambie makamanda wengine, mida wa mwenyekiti lazima uwe na ukomo!! makamanda huu ni muda wa mabadiliko, mbowe awaachie na wengine!
 
Elimu bado tatizo kwa vijana...mtoa mada tunaomba unshauri na mbowe aachie kiti kama ulivyowashauri makamanda viroba najua pia huyo dkteta atakuelewa
 
nenda ccm nyau kule wanakabidhia uwenyekiti


swissme
huku kwetu chadema kuna MTU kajimilikisha uenyekiti, ndio maana ninasema inabidi makamanda tumvue uenyekiti mbowe!! miaka 12 ni mingi sana, tunataka MTU mwingine!
 
Back
Top Bottom