Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Umewachoka wewe na nani.... mkeo??Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Mambo ya mke hapa yanatoka wapi? Jadili kilichopo!Umewachoka wewe na nani.... mkeo??
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Watafute maeneo mengine, siyo kila ofisi ya CDM iwe kinondoni.Kwenu!!!!!!
Kwenu na nani?
na mkeo!
Watafute maeneo mengine, siyo kila ofisi ya CDM iwe kinondoni.
Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangiaMmewachoka wewe na nani?
Mkuu unavuta shuka wakati kushapambazuka? tene kwa taharifa yako mwaka 2015 ilo jimbo linachukuliwa na CDMKinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangia
Kukusaidia..majimbo ya Kawe na Ubungo yapo chini ya CDMMkuu unavuta shuka wakati kushapambazuka? tene kwa taharifa yako mwaka 2015 ilo jimbo linachukuliwa na CDM
Waungwana wakati vijana wa vyama vingine wakiwa hoi, Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA leo limefungua rasmi ofisi zao zilizopo mtaa wa Togo Kinondoni. Hii ni ishara ya vijana hawa kuendelea kujiimarisha kisawa sawa na hii ni hatua muhimu katika mapambano.
Pongezi za dhati kwa hatua hii BAVICHA.
Hilo nalijua....ndiyo maana nakuambia uchaguzi ujao tunalichukua ilo jimbo la kinondoni kiulaini kabisa! chezea cdm weweeKukusaidia..majimbo ya Kawe na Ubungo yapo chini ya CDM
Kinondoni kwenu? umeonyesha utoto wa hali ya juu, nyie ndio matapeli mnaowauzia watu mskiti kwa kudanganya ni nyumba ya urithi.Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!