Baunsa akabwa

Mbona kama baunsa anajiandaa kumnyanyua hapo. Angalia mkono wake. Picha zinadanganya.
 
Mbona kama baunsa anajiandaa kumnyanyua hapo. Angalia mkono wake. Picha zinadanganya.
anamnyanyua vipi wakati ukiangalia unaona hata hakamshika mshikaji mguu,hapo kazidiwa
 
Ishawahi mtokea bodyguard wa future aliingia mikono sio

kuna story ilivuma Baunsa wa Dully Sykes miaka 2013-2015 kama sikosei alikuwa mzinguaji sana ,akaingia kwenye anga za wahuni walimchangia na kumlawiti na video zikawekwa mtandaoni wakati wanampakua
 
Sijui kwa huyo baunsa ila kwangu mimi hapo hako kajamaa kangechezea vitasa vizuri tuu.
lakini mtaani wapo majamaa wabeba cement 3 begani wamekoma bila kupiga chuma ,sema tu mabaunsa wana miili mikubwa na wengi wa siku hizi wanatumia mapoda ili wavimbe vifua
 
Mmechelewa kuamka hiyo picha ili trend wiki iliyopita na ilitolewa ufafanuzi na kuna video ya hilo tukio
mkuu hebu eleza nini kilitokea maana nikikuta kwa Yericko Nyerere ,ameandikwa kwamba jamaa alikabwa kidogo aachie samadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…