litoto la kitoongoji liliniacha kisa kuna boya alikuw anajua nyimbo zote za mb dogg ,mimi nikawa najua tu kuimba tenzi za rohon.
MB DOGGY MKALI
MATONYA MKALI WA SWAGA
miaka hiyo unaamka asubuh ukimsalimia mshua shikamoo unaona aweka pause ile redio yake ya kasette SONY W300 alafu anakujibu "MWEZ UJAO UJIANDAE KUJITEGEMEA"