Hivi nyie Wadanganyika mtajua lini Kenya ni Superpower ya east Africa?
Kenya iko juu kwa entertainment hasa music.
1. Papaa Jones
2. Aman
3. Nameles
3. Nyashiski
4. Nonini
5. Bamboo
6. Camp Mula
7. Prezzo
8. Avril
9. Stella Nyambura Mwangi
10. Ay
Nani msanii wa danganyika anashinda hawa, ukimuacha dangote?