Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,316 Aug 5, 2013 #1 Wakuu heshima mbele!Eti jamani battery saving mode ni nini na ina kazi gani?Nawasalisha.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,786 Aug 6, 2013 #2 Ni kukifanya kifaa chako kinachotumia betri kuwa katika hali ya kutumia betri kidogo na kuifanya betri ikae muda mrefu zaidi.
Ni kukifanya kifaa chako kinachotumia betri kuwa katika hali ya kutumia betri kidogo na kuifanya betri ikae muda mrefu zaidi.
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Aug 6, 2013 #3 Battery saving mode mfano kwa simu au computer hupunguza mwanga wa screen na inafanya simu au computa iwe ina run vitu kwa spidi ndogo ambayo itakusaidia kupata masaa zaidi kwenye kifaa chako
Battery saving mode mfano kwa simu au computer hupunguza mwanga wa screen na inafanya simu au computa iwe ina run vitu kwa spidi ndogo ambayo itakusaidia kupata masaa zaidi kwenye kifaa chako
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,494 Reaction score 108,851 Aug 6, 2013 #4 FaizaFoxy said: Ni kukifanya kifaa chako kinachotumia betri kuwa katika hali ya kutumia betri kidogo na kuifanya betri ikae muda mrefu zaidi. Click to expand... In addition when switching a device to such a mode, it helps to kill all unnecessary processes and reduce the screen brightness...
FaizaFoxy said: Ni kukifanya kifaa chako kinachotumia betri kuwa katika hali ya kutumia betri kidogo na kuifanya betri ikae muda mrefu zaidi. Click to expand... In addition when switching a device to such a mode, it helps to kill all unnecessary processes and reduce the screen brightness...