Battery not detected

cammory

Member
Mar 18, 2009
17
0
Nina laptop aina ya dell620 hivikaribuni ghafla ile icon ya bat ilijionyesha na alama ya x nyekundu. Ukielekeza curser kwenye ile icon kuna pop up msg ikionyesha battery not detected. kwa hali hii ni kwamba umeme ukizima batery haichukui mzigo and I totally loose the unsaved data during power failure. Naomba kusaidiwa je nibadilishe battery au kuna kienyeji kingine kinaweza kufanyika ili niendelee kutumia battery hiyo hiyo.
 
Pole sana. Nadhani battery imekufa. Batteries nazo zina life span yake, hivyo inabidi utafute nyingine mpya.
 
Nina laptop aina ya dell620 hivikaribuni ghafla ile icon ya bat ilijionyesha na alama ya x nyekundu. Ukielekeza curser kwenye ile icon kuna pop up msg ikionyesha battery not detected. kwa hali hii ni kwamba umeme ukizima batery haichukui mzigo and I totally loose the unsaved data during power failure. Naomba kusaidiwa je nibadilishe battery au kuna kienyeji kingine kinaweza kufanyika ili niendelee kutumia battery hiyo hiyo.

Hilo tatizo hata mimi ninalo ktk laptop yangu ya Latitude D620 dell, na nmejaribu fanya uchunguzi binafsi ni kwamba hapo betry limeshakufa, na sababu zinazofanya iwe hivyo ni kutokana na ku off pc gafla bila ya kufuata taratibu zake za ku off. So hata ukupata betry jipa takea la sivyo nalo litakufa mapema tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom