Kweli...kama huyo mwanamke ni mshamba kiasi hicho kulikua hakuna hata haja ya kusave battery low.
yaelekea una kaudhoefu mkuu?Tehe tehe,bonge la zubaisha *****,nyingine hii,unaweza kumsave manzi wa nje badala ya kuandika jina lake halisi kwa mfano Aisha,andika namba yako ya simu ili itumike kama contact name ya huyo Aisha,Aisha akipiga,wife akicheki simu yako atajua labda unaibippu simu yako ili ujue iliko.
Kwani hayupo JF yeye?lolItabidi niitumie hii hahahaha!
Tehe tehe,bonge la zubaisha *****,nyingine hii,unaweza kumsave manzi wa nje badala ya kuandika jina lake halisi kwa mfano Aisha,andika namba yako ya simu ili itumike kama contact name ya huyo Aisha,Aisha akipiga,wife akicheki simu yako atajua labda unaibippu simu yako ili ujue iliko.
we ni professional aiseee.Tehe tehe,bonge la zubaisha *****,nyingine hii,unaweza kumsave manzi wa nje badala ya kuandika jina lake halisi kwa mfano Aisha,andika namba yako ya simu ili itumike kama contact name ya huyo Aisha,Aisha akipiga,wife akicheki simu yako atajua labda unaibippu simu yako ili ujue iliko.
Hapana mkuu sio tabia yangu,hii nimeinyaka kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu.we ni professional aiseee.