MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 145
hivi dr. kigwangallah kakimbia kabisa jamvi? nammiss sana aisee, yaani kupata ubunge ndo basi tena?
kila nikimsoma kapwani namkumbuka kigwangalla
MTM, bado nipo...kwa nini unamkumbuka Kigwangalla kila ukisoma Kapwani? Nijuze ndg yangu