Bata kesho kwenu!
Inakuhusu nini?Elimu unayoijua wewe ni ya forms tu?Wewe mtoa mada form ngap unasoma??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hii Economic Forum, kitu cha kwanza kitakachochoze ubunifu ni kuweka utaratibu wa kupatent ideas, na uvumbuzi. Watu wakijua kuwa wanaweza kufanikiwa wakigundua vitu na si mtu mwingine kufanikiwa basi watajitahidi kufanya utafiti na majaribio. The first project kwa kina mzee Iddi Simba ni kusukuma sheria ya Patent... kwani Patent ni zaidi ya copyright!!!