Bata wangu anakula mayai yake

Bata wangu anakula mayai yake

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi jf hili ni tatizo gani Leo siku ya 15 kashakula mayai 3 anayoatamia je nifanyaje?
 
Hamna shida ingekua kala ya kuku ndo pangekua tafarani kidogo
 
jitahidi uwe unawapatia mboga mboga za majani na makabegi hutaona hilo tatizo tena au huwapi chakula sasa akisikia njaa anajivunjia mayai
 
Tatizo ni chakula na majani, hakikisha chakula na maji kinakuwa karibu ili asipate usumbufu. Vilevile hakikisha chakula kina virutubisho vyote.
 
Back
Top Bottom