Bata Wanauzwa

Bata Wanauzwa

Mais

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
56
Reaction score
12
Kama wewe ni mpenzi wa nyama ya bata basi wasiliana nasi. Tunaweza kukuuzia bata walio hai au waliochinjwa (na kuandaliwa vizuri tayari kwa kupikwa). Bata wako maeneo ya Dar es Salaam, Boko Dovya njia ya kuelekea Ndege Beach.
Bei: Dume ni Sh. 20,000/= na Jike ni Sh. 15,000/=. Karibuni.

Kuweka oda piga simu namba: 0788 744 060
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom