Mwache ale bata maisha yenyewe ni mafupiKwa waliopo instagram unaweza kuona mbwembwe za Ommy Dimpoz, bata akula haswa sijui ndio kaacha muziki Ana kula mafao sasa. Mara Paris, uki weka bundle kaisha fika Ujerumani. Ukizima simu ukiwasha yupo Sweden huna kaa sawa utamsikia Dubai, kosa ujisahaulishe utamuona nduguyo Marekani sio tour ya music No, ni bata na relaxing flan hivi amazing... Kila la heri Ommy D.
Labda kamkimbia makonda,natania tu bhana
Otea mkuuHalafu huo utani wako...Makonda ana kampeni nyingi, ombaomba, shisha, mashoga, usafi nk we unamaanisha ipi?
Jamaa anavuta shisha sana ndiyo maana kamkimbia Makonda.Halafu huo utani wako...Makonda ana kampeni nyingi, ombaomba, shisha, mashoga, usafi nk we unamaanisha ipi?
HahahahahHalafu huo utani wako...Makonda ana kampeni nyingi, ombaomba, shisha, mashoga, usafi nk we unamaanisha ipi?